Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
259
big_100466_LEAD-OCEANGATE-TITANIC.jpg
Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.

Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.

==========

Ikiwa ni Wiki 2 tangu kutokea ajali ya kulipuka kwa'Submarine' yake ya Titan na kuua Watu 5, kampuni hiyo imetangaza kuwa safari nyingine 2 zitafanyika mwaka 2024 kwa gharama ya Tsh. Milioni 605 kwa tiketi ya Mtu mmoja.

Safari hizo za siku 8 (Siku 5 za Juu ya Bahari na 3 za Chini ya Bahari)zimepangwa kufanyika June 12 hadi 20 na Juni 21 hadi 29, 2024. Huduma zitakazotolewa ni Mavazi maalumu, Chakula, Malazi na huduma ya Intaneti.

Juni 18, 2023, Chombo cha Titan kililipuka na kusababisa Vifo vya Abiria 3, Nahodha 1 na Mtaalamu wa Masuala ya Bahari waliokuwa wakienda kutalii Mita 3800 chini ya Bahari yalipo Mabaki ya Meli ya Titanic.

==========

OceanGate has plans for more expeditions to the Titanic shipwreck in 2024 even after 10 days since the Titan submersible imploded, killing all passengers.

t has been little over a week since the devastating implosion of the Titanic submersible that resulted in the demise of its five passengers. Yet OceanGate Expeditions continues to advertise trips to the Titanic ruins on its website.
OceanGate website is still advertising Titanic expeditions


OceanGate website is still advertising Titanic expeditions
Two excursions have been planned for 2024, from June 12-20 and June 21-29. Furthermore, the 2023 mission has been stated as “currently underway”.

The cost has been stated as $250,000 per person. This includes one submersible dive, private accommodations, all required training, expedition gear, and all meals while on board, according to the site. A maximum of six people are allowed and the minimum age must be 17 years.

According to the website, accommodations include a stateroom as the bedroom and a single shared bathroom. The sub also provide wi-fi.

Along with these details, the website continues to share pictures of scenes from the expedition as well as videos of people sharing their experiences.

The trip spans over 8 days and 7 nights. The trip begins at St. John's in Newfoundland, Canada. The dive to Titanic's wreckage begins on day 3 and starts to return on day 7. On day 8 they return to St. John's.

Furthermore, the website mentions some content experts who might join expeditions. On top of the list is Paul-Henri Nargeolet, 77, the renowned Titanic expert who lost his life on the tragic latest expedition.

THE INSIDER
 
View attachment 2674187Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.

Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.
Childhood mates wametisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Maswali ni mengi watujibu kwanza.
Suala la usalama limekaaje?
safari hii wameleta chombo tofauti na mwanzo au?
uchunguzi wa awali unaonyesha nini ilikuwa tatizo?Je limerekebishwa?Kwanini wasibebe nyani kwanza apelekwe tuone kama atafika salama?
 
Back
Top Bottom