Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

kuna wabongo watakuja kusema wao hawaendi utadhani hata pesa ya kulipa huko wanayo.. millioni mia 600 ndio nauli nawakumbusha tu.
Mimi hata Kwa tiketi ya Bure siendi 😊 njia pekee ya kunipeleka huko ni kuniteka na kuswekwa kwenye Submarine 😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Wewe unaumia nini Sasa? Au utachangia gharama za kwenda huko?
 
Mimi hata Kwa tiketi ya Bure siendi 😊 njia pekee ya kunipeleka huko ni kuniteka na kuswekwa kwenye Submarine 😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂
Sasa wewe upo Kisiju huko namna ana muda wa kuhangaika na Ngumbaru?
 
Sasa wewe upo Kisiju huko namna ana muda wa kuhangaika na Ngumbaru?
Mama na baba zako NDIO ngumbaru!!

The only thing ambacho nauhakika unanizidi only ni Level yako ya Ignorance ipo juu sana kunizidi 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

NB:
IF YOU CAN USE THIS ENERGY FOR YOUR LIFE THEN YOU WILL NOT BEGGING FOR FOOD
 
mijanaharam hii bado inamdhihaki Mnyaazimngu ngoja ikafie tena huko laanatulayhi hawa.
 
Hapana hapana,siyo vichwa vya kuku,wao Huwa wanaangalia percentage ya hizo ajali zilizokwisha kutolea,yaani idadi ya safari zilizofanikiwa ni nyingi sana hiyo iliyotokea,ni bahati mbaya tu. Ukilinganisha na ajali za mabasi zinazotokea barabarani safari ya kuiona Titanic inabakua kuwa salama.

Tatizo hiyo ajali ikitokea uhakika wa kupona ni 0% tofauti na ajali za barabarani ambazo % kubwa ya watu wanapona.
 
Unaowaita vichwa vya kuku ndio hao wametutengenezea ndege na leo mpaka viongozi wetu wanapangana Airport kuzipokea...unajua Ni vichwa vingapi vya kuku unavyoviita vilikufa na kuteketea kwa sababu ya utafiti na majaribio ya safari za Angani? Wangekuwa waoga leo dunia ingekuwa nyuma sana...

Wafanye utafiti kwanza wapate report ya nini kilitokea kabla ya kuanza kwenda tena.
 
Unaowaita vichwa vya kuku ndio hao wametutengenezea ndege na leo mpaka viongozi wetu wanapangana Airport kuzipokea...unajua Ni vichwa vingapi vya kuku unavyoviita vilikufa na kuteketea kwa sababu ya utafiti na majaribio ya safari za Angani? Wangekuwa waoga leo dunia ingekuwa nyuma sana...Internet unayotumia kupost hapa kuna watu wengi sana wamekufa na wengine kupotelea angani na hawajapatikana mpaka leo kwa sababu walijitoa kufa na kupona kwenda anga za juu kufanya utafiti na matokeo yake ndiyo teknolojia unayoiona leo...
Kwa hiyo huko chini ktk Titanic wataleta nini?
 
Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Bila ya hivyo au watu wa aina hiyo basi dunia isingefika hapa ilipo sasa.
 
Kwl vidole havilingani siwezi kabisa kufanya upuuzi nikaangalie meli ilizama halafu? Ili iweje.....sisi binadamu ni wabinafsi sana Kuna wanaokufa njaa na Kuna wanaotumia milioni 600 kuangalia meli iliyozama....Huo sio Uchuro n nn?Mungu alituweza kusimamia nafasi Yake pale kwenye kifo tu ndio alituweza MUNGU shikamoo....ikifika hakuna Cha Bill gates au Ellon,..hakuna Cha Makufuli Wala Mkapa...hakuna Cha Masikini Wala chochote[emoji1][emoji16]jamani nimewaza tu Kwa sauti sijasema[emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom