Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Maswali ni mengi watujibu kwanza.
Suala la usalama limekaaje?
safari hii wameleta chombo tofauti na mwanzo au?
uchunguzi wa awali unaonyesha nini ilikuwa tatizo?Je limerekebishwa?Kwanini wasibebe nyani kwanza apelekwe tuone kama atafika salama?
Mkuu ume enda mbali sanaa...🤣🤣🤣😂😂😂😂

Unafikir wale ma billionaire hawajawai kukipeleka chombo then wakawa assured 100% NDIO wakaenda wao..

Mkuu wazungu ni watu makini ndugu tena sio Kwa TRIAL & ERROR

Ile ajar ilikua ni unexpected 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
B9F17B5C-7DCA-45EF-8CEB-E33EDD0E2BF0.jpeg
 
Kwanini mkuu?
Mkuu ume enda mbali sanaa...🤣🤣🤣😂😂😂😂

Unafikir wale ma billionaire hawajawai kukipeleka chombo then wakawa assured 100% NDIO wakaenda wao..

Mkuu wazungu ni watu makini ndugu tena sio Kwa TRIAL & ERROR

Ile ajar ilikua ni unexpected 🤓🤓🤓🤓🤓
 
View attachment 2674187Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.

Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.
Safari nyingine ya kukitafuta kifo kwa tochi.
Kalaghabao
 
[emoji28][emoji28][emoji28],unaogopa kuliwa na samaki nini?
Bermudas triangle 📐 hapo pia siwez kwenda...

Hii sehemu ipo bahari ya Atlantic mtu pekee Alie wai kupita salama hapo ni Huyu bwana VASCO DAGAMA

Explorer pekee aliwai kupita pale na ngawala yake akanusurika Kifo ni VASCO DAGAMA
 
Mkuu ume enda mbali sanaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unafikir wale ma billionaire hawajawai kukipeleka chombo then wakawa assured 100% NDIO wakaenda wao..

Mkuu wazungu ni watu makini ndugu tena sio Kwa TRIAL & ERROR

Ile ajar ilikua ni unexpected [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
[emoji28][emoji28],lazima tuulize aisee,maana tunapoteza mabilionea humo,si unaona nauli yenyewe kiinua mgongo cha wabunge wawili wa Tz na na bado haitoshi
 
Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Wabongo sijui waga mna akili gani.

Hapa hata hao nyumbu wana nafuu.
 
Back
Top Bottom