Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Mimi naenda kupanda naomba wana Jamii Forums mnichangie nauli
 
duhh!!!watuache bac angalau tumalize matanga
 
Watakwenda tena ila this time watarekebisha makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendekeza bunge letu lote walipiwe nauli wapande waende

Hata wakichukua pesa za bunge sioni shida watanzania turuhusu wabunge wote waende tu kwa gharama za kodi zetu

Naomba kutoa hoja
 
Ajali ilitegemewa mana walionywa mapema , engineers wengi Tu walitilia Shaka material ya kifaa kuweza kuhimili intense water pressure..... Japo kifaa kiliweza kwenda mara kadhaa na kurudi expert wengi hawakuwa na Imani nacho since day one ....
 
So una amini kiliwai kwenda na kurudiπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“ B4 calamities happened
 
Precision bado inaendelea na safari za bukoba kama kawa, sembuse hao Advanced technologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…