Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Hakuna aliekufa, hio ilikuwa marketing strategy
 
Wale wamiliki wa DP world hivi tukiwabembeleza waende kutalii kwa gharama zetu watachomoa hii ofa kweli?
[/QUOTE.waende wakatalii huko na utamu wa bandari ya dar wamuachie nani?
 
Hizo nafasi wangetoa kwa waafrika bure, kuna watu watataka kujitoa muhanga wakafie huko ili wapate sifa za kufa kishujaa
 
Kingekuja na huku viongozi wetu wakitumie kutangaza uchumi wa buluuuuu mabaki ya mv bukoba ingependeza sana
 
Kata mti panda mti ..wazungu wangese sana wataenda tena!
 
kuna wabongo watakuja kusema wao hawaendi utadhani hata pesa ya kulipa huko wanayo.. millioni mia 600 ndio nauli nawakumbusha tu.
 
Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Kitu unachopaswa kuelewa ni kwamba Kampuni ya Ocean Gate imeshafanya safari kama hizo zaidi ya mara 20 na zote zimefanikiwa..hiyo moja tu ndiyo ilileta itilafu na kusababusha mauaji...

Ni kama hapa kwetu Pamoja na Ndege kutumbukia ziwani na kusababisha maafa lakini..kampuni bado ipo na watu wanaendelea na safari kama kawaida..

Ni mara ngapi kampuni kubwa za mabasi tunazozifahamu zinapata ajali na kuua watu na bado watu tunasafiri Daily....?
 
Natamani sana kufanya utalii wa maji.
Naamini siku nifanye hii kitu.
Natamani pia kufanya kazi na kampuni hii pendwa.
 
Wazungu vichwa vya kuku ,hapo nafasi wengine watakosa kwa hiyo safari.
Unaowaita vichwa vya kuku ndio hao wametutengenezea ndege na leo mpaka viongozi wetu wanapangana Airport kuzipokea...unajua Ni vichwa vingapi vya kuku unavyoviita vilikufa na kuteketea kwa sababu ya utafiti na majaribio ya safari za Angani? Wangekuwa waoga leo dunia ingekuwa nyuma sana...
Aisee hawa jamaa wamenichekesha sana...hahaa kweli majuu hamnazo
Internet unayotumia kupost hapa kuna watu wengi sana wamekufa na wengine kupotelea angani na hawajapatikana mpaka leo kwa sababu walijitoa kufa na kupona kwenda anga za juu kufanya utafiti na matokeo yake ndiyo teknolojia unayoiona leo...
 

He who does not listen to the great will break his leg!

"asiyesikia la mkuu huvunjika guu"
 
Chombo hakikulipuka kama ulivoandika,tofautisha kulipuka na kubast au kufumuka.
Tafsiri ya neno implode siyo kulipuka. Ila Asante kwa taarifa itabidi niifanyie kazi wafanyakazi wangu wakafanye utalii huko kwenye kina kirefu cha bahari,wakayaone mabaki ya Titanic.
 
Wazungu vichwa vya kuku ,hapo nafasi wengine watakosa kwa hiyo safari.
Hapana hapana,siyo vichwa vya kuku,wao Huwa wanaangalia percentage ya hizo ajali zilizokwisha kutolea,yaani idadi ya safari zilizofanikiwa ni nyingi sana hiyo iliyotokea,ni bahati mbaya tu. Ukilinganisha na ajali za mabasi zinazotokea barabarani safari ya kuiona Titanic inabakua kuwa salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…