Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

kuna wabongo watakuja kusema wao hawaendi utadhani hata pesa ya kulipa huko wanayo.. millioni mia 600 ndio nauli nawakumbusha tu.
Mimi hata Kwa tiketi ya Bure siendi 😊 njia pekee ya kunipeleka huko ni kuniteka na kuswekwa kwenye Submarine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Wewe unaumia nini Sasa? Au utachangia gharama za kwenda huko?
 
Mimi hata Kwa tiketi ya Bure siendi 😊 njia pekee ya kunipeleka huko ni kuniteka na kuswekwa kwenye Submarine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Sasa wewe upo Kisiju huko namna ana muda wa kuhangaika na Ngumbaru?
 
Sasa wewe upo Kisiju huko namna ana muda wa kuhangaika na Ngumbaru?
Mama na baba zako NDIO ngumbaru!!

The only thing ambacho nauhakika unanizidi only ni Level yako ya Ignorance ipo juu sana kunizidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

NB:
IF YOU CAN USE THIS ENERGY FOR YOUR LIFE THEN YOU WILL NOT BEGGING FOR FOOD
 
mijanaharam hii bado inamdhihaki Mnyaazimngu ngoja ikafie tena huko laanatulayhi hawa.
 
Tatizo hiyo ajali ikitokea uhakika wa kupona ni 0% tofauti na ajali za barabarani ambazo % kubwa ya watu wanapona.
 
Wafanye utafiti kwanza wapate report ya nini kilitokea kabla ya kuanza kwenda tena.
 
Kwa hiyo huko chini ktk Titanic wataleta nini?
 
Kwa jinsi ambavyo binadamu wamekuwa manyumbu watatokea manyumbu wengine, tena pengine zaidi ya hao 5 nao wakajifie huko chini ya bahari.... [emoji23] [emoji23]
Bila ya hivyo au watu wa aina hiyo basi dunia isingefika hapa ilipo sasa.
 
Kwl vidole havilingani siwezi kabisa kufanya upuuzi nikaangalie meli ilizama halafu? Ili iweje.....sisi binadamu ni wabinafsi sana Kuna wanaokufa njaa na Kuna wanaotumia milioni 600 kuangalia meli iliyozama....Huo sio Uchuro n nn?Mungu alituweza kusimamia nafasi Yake pale kwenye kifo tu ndio alituweza MUNGU shikamoo....ikifika hakuna Cha Bill gates au Ellon,..hakuna Cha Makufuli Wala Mkapa...hakuna Cha Masikini Wala chochote[emoji1][emoji16]jamani nimewaza tu Kwa sauti sijasema[emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…