Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono? Yericko; Hawezi kushinda yule

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??

Gwamaka: NDIYO,
Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.

Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,

Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??

Yericko:
Hawezi kushinda yule😆

Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.

Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.

Comments fupi fupi

IMG-20250105-WA0086.jpg
 
Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??

Gwamaka:
Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: Ndio nitamuunga mkono

Odemba: Je endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??

Yericko:
Hawezi kushinda yule

Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.

Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.

Comments fupi fupi
Yeriko Yeriko Yeriko......usimalize manenooo
 
Uongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.
 
Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??

Gwamaka: NDIO,
Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.

Lyenda: NDIO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,

Odemba: Je endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??

Yericko:
Hawezi kushinda yule😆

Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.

Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.

Comments fupi fupi
Mweupe ni Yeriko na Ntobi waliokuwa wamelewa ulanzi.
 
Uongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.
Toka nje ya boksi acha kujigubika ndani.Dunia imebadilika.
 
Uongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.
Nyerere hakujiuzulu bali aling'atuka baada ya Hali ya Uchumi kuwa ngumu sana
 
Ni aibu kubwa sana CHADEMA kuwa na watu aina ya Yeriko na Ntobi kama think-tanks.

Mchakato wa Uchaguzi huu umewaexpose vibaya mno
Mbona wasingeenda G. Malissa au Martin Maranja Masese angalau? Ntobi ni aibu hata kumsikiliza. Plagiarist # 1 duniani ndiyo zero kabisa. Wakunja ngumi a.k.a wabangaizaji a.k.a kazi wanayo!
 
Uongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.
Mwalimu ni muasisi kama Mtei Chadema, pia enzi za mwalimu zilikuwa za Demokrasia ya chama kimoja, kuanzia 95 Mwinyi alikaa kwenye kiti mpaka alipojiuzuru? Mkapa je, Kikwete? ... Shirikisha bongo yako.
 
Back
Top Bottom