Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Leo ndiyo umeipa CHADEMA umuhimu na ukuu huo?Punguza au acha unafiki.Muuliza swali ndiye Mweupe anayeuliza swali la kufikirika ambalo anajua haliwezi kutokea kamwe na katu lissu kushinda Uenyekiti. Uenyekiti wa CHADEMA siyo sawa na kupiga Domo na kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo