Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Yeriko Yeriko Yeriko......usimalize manenoooOdemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: Ndio nitamuunga mkono
Odemba: Je endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
Mapandikizi ya CCM hayo yasikuchoshe. Nashukuru Mungu tu nyakati zimewatupa mkono. Saivi wananchi washable mbivu na mbichiSiasa za upinzani Tanzania zipo miaka 60 nyuma
Mweupe ni Yeriko na Ntobi waliokuwa wamelewa ulanzi.Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yuleπ
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
Toka nje ya boksi acha kujigubika ndani.Dunia imebadilika.Uongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.
Jamaa amesanda sanaYeriko Yeriko Yeriko......usimalize manenooo
Mbowe: Chadema ni Kikundi tu Cha watu wanaojitolea ππππ
Nyerere hakujiuzulu bali aling'atuka baada ya Hali ya Uchumi kuwa ngumu sanaUongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.
Mbona wasingeenda G. Malissa au Martin Maranja Masese angalau? Ntobi ni aibu hata kumsikiliza. Plagiarist # 1 duniani ndiyo zero kabisa. Wakunja ngumi a.k.a wabangaizaji a.k.a kazi wanayo!Ni aibu kubwa sana CHADEMA kuwa na watu aina ya Yeriko na Ntobi kama think-tanks.
Mchakato wa Uchaguzi huu umewaexpose vibaya mno
Mwalimu ni muasisi kama Mtei Chadema, pia enzi za mwalimu zilikuwa za Demokrasia ya chama kimoja, kuanzia 95 Mwinyi alikaa kwenye kiti mpaka alipojiuzuru? Mkapa je, Kikwete? ... Shirikisha bongo yako.Uongozi wa chama ni tofauti na uongozi wa nchi Mwalimu Nyerere alikaa uenyekiti hadi alipojiuzulu Urais. Hii haikuwa bahati mbaya hata kidogo. Sio aje mtu kwakuwa anahitaji uenyekiti aanze kuchallenge muda.