Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Leo ndiyo umeipa CHADEMA umuhimu na ukuu huo?Punguza au acha unafiki.Muuliza swali ndiye Mweupe anayeuliza swali la kufikirika ambalo anajua haliwezi kutokea kamwe na katu lissu kushinda Uenyekiti. Uenyekiti wa CHADEMA siyo sawa na kupiga Domo na kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo
aibu kwa chadema ,au mboweNi aibu kubwa sana CHADEMA kuwa na watu aina ya Yeriko na Ntobi kama think-tanks.
Mchakato wa Uchaguzi huu umewaexpose vibaya mno
Haahaa ni zaidi ya uchawa, jamaa hata kuelewa swali hajui.Hii ni hatariOdemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
hakuna mweupe. May be yeriko anajua kabisa kuwa hatashinda!Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Huyu dogo ni mchawi kabisaOdemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Yericko ni mweupe hii nchi bwanaOdemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Siyo ajabu mjinga kumwona mjinga mwenzake aliyemzidi ujinga, ana akili zaidi!!Yericko yuko sahihi.
View attachment 3192896
Mimi siwezi Kuunga mkono mtu ambae naona ni mgonjwa wa akili.Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Hiyo damu ya wanyama unayomwaga wakati damu ya Yesu ilishwamwagwa bure! Atalia mama yake kama anayeOdemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Mweupe kichwani No. 1. Yericko ila sio Nyerere.Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Ni aibu kubwa sana CHADEMA kuwa na watu aina ya Yeriko na Ntobi kama think-tanks.
Mchakato wa Uchaguzi huu umewaexpose vibaya mno
Ndio maana umekuwa shoga kwa sababu ya kukosa misimamo mikali, wewe unafikiria ni raha wenzako kila siku wanakupumulia tu kisogoni.Mimi siwezi Kuunga mkono mtu ambae naona ni mgonjwa wa akili.
Kama ambavyo sikuwahi muunga mkono Mwendazake hata Lisu siwezi.
Watu wa msimamo mkali ni hasara kwenye maisha na ustawi.
Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi kushinda yule😆
Ntobi: Itakuwa ngumu Lissu kushinda, ila akishinda nitamuunga mkono.
Unadhani ni nani mweupe kichwani kwa Mtazamo wako.
Comments fupi fupi
View attachment 3192899
Bora uwe ulanzi ,ni mabosoMweupe ni Yeriko na Ntobi waliokuwa wamelewa ulanzi.
Anatoka kitindini ameshiba kabisa anabeua tu.Bora uwe ulanzi ,ni maboso
So far it seems "Mwamba" ndie CHADEMA na wengine wote ni wavamizi tu na wanataka kupora "business entity" yake.Tofautisha think tanks wa Chadema na wale wa mwamba.