Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono? Yericko; Hawezi kushinda yule

So far it seems "Mwamba" ndie CHADEMA na wengine wote ni wavamizi tu na wanataka kupora "business entity" yake.

Ameshakuwa recorded akisema CHADEMA ni "chama changu"
Na ni chama chake kweli ila aisee wakuja wanataka kumpora Tonge
 
Yeriko na Ntobi ni wajinga haswa
 
Muuliza swali ndiye Mweupe anayeuliza swali la kufikirika ambalo anajua haliwezi kutokea kamwe na katu lissu kushinda Uenyekiti. Uenyekiti wa CHADEMA siyo sawa na kupiga Domo na kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…