comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kuna kale kamruzi Instagram wanapigagaCK (Comrade Kipepe)
Namkaribisha binti yoyote hapa jf (hata single maza) kama unajijua ni mzuri na unavutia na mtulivu, nakukaribisha weekend ya tarehe 21 mwezi huu wa 12, tutoke ule unachotaka pia utajipatia pocket money ya shilingi laki 5 za kitanzania.
Pia masharti ya kukutana ni kwamba hakuna masuala ya kimahusiano, ni kufahamiana tu na marafiki wa jf.
PM ipo wazi mnakaribishwa sana karibuni warembo wa jf kwa usahili.
MASINGO MAZA NITAWAPA KIPAUMBELE ZAIDI
Hao ni wasiojulikana siwataki
Muda wake tuu, story mbili tatuWewe utatoa chakula na 500K
Yeye atatoa nini na nini?
Huyo nae ni mwanamke kumbeMpwa wangu BICHWA KOMWE - najua huna chakupoteza pambania lak tano hii tukajengee nyumba ya babu kobisi
Sasa huoni hapo nasambaza upendo, nshasema no mapenzi hapoHalafu unataka kuanzisha dini, itakuja nyoka labdaππ
Binti wa watu mstaarab kabisaHuyo nae ni mwanamke kumbe
Demu wako huyoππBinti wa watu mstaarab kabisa
Ni mpwa wangu naozesha kwa yeyote π πDemu wako huyoππ
We pita kuleeeNi mpwa wangu naozesha kwa yeyote π π
Huyo hapanaBinti wa watu mstaarab kabisa
Yeye anatoa mix by yasWewe utatoa chakula na 500K
Yeye atatoa nini na nini?
HapanaYeye anatoa mix by yas