Ofa! Ofa! Binti anayejijua ni pisikali JF anakaribishwa chakula cha mchana na usiku

Ofa! Ofa! Binti anayejijua ni pisikali JF anakaribishwa chakula cha mchana na usiku

Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
CK (Comrade Kipepe)

Namkaribisha binti yoyote hapa jf (hata single maza) kama unajijua ni mzuri na unavutia na mtulivu, nakukaribisha weekend ya tarehe 21 mwezi huu wa 12, tutoke ule unachotaka pia utajipatia pocket money ya shilingi laki 5 za kitanzania.

Pia masharti ya kukutana ni kwamba hakuna masuala ya kimahusiano, ni kufahamiana tu na marafiki wa jf.

PM ipo wazi mnakaribishwa sana karibuni warembo wa jf kwa usahili.

MASINGO MAZA NITAWAPA KIPAUMBELE ZAIDI
Je sii mtego wa kuwanasisa wanajf vivuruge wa upigaji wa wanacccm na uovu wao?
 
Back
Top Bottom