comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #81
Nyie masela labda mje tunywe K VANT kila mtu atoke kwake akiwa ameshakulaKaka, na mie siku moja na mshakaji wetu Xiao qui shui utufanyie surprise.

😅😅 Kikubwa vibe tu K VANT mbona unyama sanaNyie masela labda mje tunywe K VANT kila mtu atoke kwake akiwa ameshakula
😹😹😹😹😹Itakua anataka kuja na kaside piece kake 🤣 akija nako mkawekee sumu kwenye chakula 😎😎
Sura ya baba haturuhusiwi hata nikiikarabati salonCK (Comrade Kipepe)
Namkaribisha binti yoyote hapa jf (hata single maza) kama unajijua ni mzuri na unavutia na mtulivu, nakukaribisha weekend ya tarehe 21 mwezi huu wa 12, tutoke ule unachotaka pia utajipatia pocket money ya shilingi laki 5 za kitanzania.
Pia masharti ya kukutana ni kwamba hakuna masuala ya kimahusiano, ni kufahamiana tu na marafiki wa jf.
PM ipo wazi mnakaribishwa sana karibuni warembo wa jf kwa usahili.
MASINGO MAZA NITAWAPA KIPAUMBELE ZAIDI
Hembu ikarabati halafu tuma picha pm, unaweza ukapata hata chips kavu na 50k ya usumbufuSura ya baba haturuhusiwi hata nikiikarabati salon
Na tonic water burudani kabisa😅😅 Kikubwa vibe tu K VANT mbona unyama sana
Kumbe kweli wamekuja 😅Naendelea kusoma PM zenu chura wa jf
Fanya kweli, bado wewe tuKumbe kweli wamekuja 😅
Nilishawahi kujichanganya nikatoa email humu, kidogo niikimbie 🤣
Siku zote ukiona huduma ni ya bure,basi ujue wewe ndio bidhaa.Wewe utatoa chakula na 500K
Yeye atatoa nini na nini?
Mimi hii ofa siihitaji, wape vijana wenzako maokoto sikukuu zinakuja.Fanya kweli, bado wewe tu
Ngoja niendede kufanya usahiliMimi hii ofa siihitaji, wape vijana wenzako maokoto sikukuu zinakuja.
Mie mbona wanibania hivyo we mama mtu mzima 😬😬.. Nifungulie hata PM tuKumbe kweli wamekuja 😅
Nilishawahi kujichanganya nikatoa email humu, kidogo niikimbie 🤣
Nenda pm ya genta fastaaCK (Comrade Kipepe)
Namkaribisha binti yoyote hapa jf (hata single maza) kama unajijua ni mzuri na unavutia na mtulivu, nakukaribisha weekend ya tarehe 21 mwezi huu wa 12, tutoke ule unachotaka pia utajipatia pocket money ya shilingi laki 5 za kitanzania.
Pia masharti ya kukutana ni kwamba hakuna masuala ya kimahusiano, ni kufahamiana tu na marafiki wa jf.
PM ipo wazi mnakaribishwa sana karibuni warembo wa jf kwa usahili.
MASINGO MAZA NITAWAPA KIPAUMBELE ZAIDI
Tatizo wewe mzee 😂😂 nataka wale damu bado inachemka 😅Mie mbona wanibania hivyo we mama mtu mzima 😬😬.. Nifungulie hata PM tu
Wazee tuna mikakati mizito kuliko vijana.. Hujawai sikia msemo wa nyani mzee ?Tatizo wewe mzee 😂😂 nataka wale damu bado inachemka 😅
Unatutega sio 😂😂😂CK (Comrade Kipepe)
Namkaribisha binti yoyote hapa jf (hata single maza) kama unajijua ni mzuri na unavutia na mtulivu, nakukaribisha weekend ya tarehe 21 mwezi huu wa 12, tutoke ule unachotaka pia utajipatia pocket money ya shilingi laki 5 za kitanzania.
Pia masharti ya kukutana ni kwamba hakuna masuala ya kimahusiano, ni kufahamiana tu na marafiki wa jf.
PM ipo wazi mnakaribishwa sana karibuni warembo wa jf kwa usahili.
MASINGO MAZA NITAWAPA KIPAUMBELE ZAIDI
Huu ni mtego 😅Hembu ikarabati halafu tuma picha pm, unaweza ukapata hata chips kavu na 50k ya usumbufu
KwannHuu ni mtego 😅
Hakuna mtegoUnatutega sio 😂😂😂