Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Kama bado ujaoa kiongozi mke huyu hapo 😅😅😅We pita kuleee
Kama bado ujaoa kiongozi mke huyu hapo 😅😅😅We pita kuleee
Upo Iringa sehem gani?Halafu unataka kuanzisha dini, itakuja nyoka labdaà ½Ã¸à ½Ã¸
Hujapata kutoka wapi mkuu? Au unasubiria wa kutoja kwa bwana😃😃🙌
Team KATAA NDOA 😅Hujapata kutoka wapi mkuu? Au unasubiria wa kutoja kwa bwana😃😃🙌
Huo msemo "Itakuja nyoka", Nimeusikia iringa tu..Upo Iringa sehem gani?
😳😳😳Masikini usije ukawa kataa ndoa halafu unawa-harm mademu wa watu😎🙆Team KATAA NDOA 😅
Niko moro ni msemo tu wa kitaaa😳🤣Upo Iringa sehem gani?
Niko moro ni msemo tu wa kitaaa😳Upo Iringa sehem gani?
Ni msemo wa kitaaa tu ila niliukutia huko nyanda za juu kusiniHuo msemo "Itakuja nyoka", Nimeusikia iringa tu..
Wanavoongelea mnyama mwanzoni mwa kitinzi wanaweka I. mfano "Mbwa imechinjwa", au hata hyo sentensi yako "itakuja nyoka".
Hatuna tabia hizo tunaishi na mmoja mpaka aolewe tunachukua mwengine mpaka na yeye aolewe😳😳😳Masikini usije ukawa kataa ndoa halafu unawa-harm mademu wa watu😎🙆
Daaaah aiseeee nyie ndo vijana wa hovyooo kabisaHatuna tabia hizo tunaishi na mmoja mpaka aolewe tunachukua mwengine mpaka na yeye aolewe
Aaaawww babe 🥰
Karibuni sana mashemeji
Tundra na tackleWewe utatoa chakula na 500K
Yeye atatoa nini na nini?
Au hutaki??Aaaawww babe 🥰
Ukinipa a proper proposal, nitakujibuAu hutaki??
SanaaaaWatu mna upendo sana