Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Hamna kiongozi kuoa matesoDaaaah aiseeee nyie ndo vijana wa hovyooo kabisa
Hamna kiongozi kuoa matesoDaaaah aiseeee nyie ndo vijana wa hovyooo kabisa
Mateso yapi sasa mkuu🤣, umri unaenda kumbukaHamna kiongozi kuoa mateso
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama weweSanaaaa
Karibuni sana
mkuu we mwenyewe ujaoa unanilazimisha mimi 😂😂😂Mateso yapi sasa mkuu🤣, umri unaenda kumbuka
Kawaida tu mzeeNikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe
Shem huna mdogo wako unipe na mimi 😀Karibuni sana
🤣🤣Kawaida tu mzee
Sasa kaka wewe sio wa kuishi na demu bila kumuoaa akikufia jemkuu we mwenyewe ujaoa unanilazimisha mimi 😂😂😂
kwao wanajua alipo 😅 baaday nitakupigia uongee NayeSasa kaka wewe sio wa kuishi na demu bila kumuoaa akikufia je
Sio kaiwada kaka, unafikiri binadamu wangapi Wana moyo mzuri kama wako.. Hakika wewe ni malaika kabisaKawaida tu mzee
Mmmmh kwanini aweke criteria mwanamke awe mzuri??Sio kaiwada kaka, unafikiri binadamu wangapi Wana moyo mzuri kama wako.. Hakika wewe ni malaika kabisa
Basi sawa nitakuja na proposal nzuri sawa eehUkinipa a proper proposal, nitakujibu
Sasa ndio tajiri kinacho mpa Raha 😅Mmmmh kwanini aweke criteria mwanamke awe mzuri??
Kwani wewe bado uko single?Shem huna mdogo wako unipe na mimi 😀
Sasa ndio tajiri kinacho mpa Raha 😅
St. Comrade kipepeSio kaiwada kaka, unafikiri binadamu wangapi Wana moyo mzuri kama wako.. Hakika wewe ni malaika kabisa
Sawa na pete nzuri na mahari iliyoshiba 😅 😅Basi sawa nitakuja na proposal nzuri sawa eeh
Asmsahahu Gentamycin