Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ccm bhanaTaarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo , AMEKAMATWA NA POLISI .
Chanzo : MwanaHalisi
Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pambaCcm bhana
Kwa faida ya wengi unaweza kutuwekea hapa hayo matusi yake ?Alikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Una ushahidi utuonyeshe namna alikuwa anatukana au?!Alikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Matusi mazito sana ya nguoni dhidi ya viongozi wetu, acha ahenyeKwa faida ya wengi unaweza kutuwekea hapa hayo matusi yake ?
Yako wapi hayo matusi?Alikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Ana matusi kama wewe, wahuni sehemu yao gerezani, bado wewe, inaonekana unawashwa ndogoYako wapi hayo matusi?
Au usipopigwa mtungo hupati amani kabisa?
Haya nijibu.
Ukipigwa mtungo unapata amani au hupati amani?
Haya mambo yamerudi tena ?Watambambikia kesi masikini.
Hahahah polisi ni wale wale hata kamaAlikuwa anatukana mitandaoni, kutukana ni kosa, ngoja anyooshwe
Lingine tumuombee asipoteeKwa Kosa gani ?
Nadhani habari haijaa vyema bila kujua Kosa kama ni sababu ya kutoa maoni yake basi tunaishi kwenye monarchy..., lakini kama ni kwa kosa jingine tusihukumu kwanza ila angalizo asijebambikiwa kesi au ndio zile ukiishi kwenye nyumba ya vioo basi usitupie wenzako mawe....
All in all we are living in very sad times....