Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI.

Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao wametumwa kumkamata.

Jonas.jpg


Chanzo : MwanaHalisi
 
Kwa Kosa gani ?

Nadhani habari haijaa vyema bila kujua Kosa kama ni sababu ya kutoa maoni yake basi tunaishi kwenye monarchy, lakini kama ni kwa kosa jingine tusihukumu kwanza ila angalizo asijebambikiwa kesi au ndio zile ukiishi kwenye nyumba ya vioo basi usitupie wenzako mawe.

All in all we are living in very sad times.
 
Kwa Kosa gani ?

Nadhani habari haijaa vyema bila kujua Kosa kama ni sababu ya kutoa maoni yake basi tunaishi kwenye monarchy..., lakini kama ni kwa kosa jingine tusihukumu kwanza ila angalizo asijebambikiwa kesi au ndio zile ukiishi kwenye nyumba ya vioo basi usitupie wenzako mawe....

All in all we are living in very sad times....
Lingine tumuombee asipotee
 
Back
Top Bottom