Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

Tz inaongozwa na vibaka machoko
 
Kwakweli nchi hii ishaharibika hii ukipata mwanya we piga tu ukijifanya unakosoa imekula kwako
 
Walikuwa wanasema mambo ya kuoneana yaliondoka na mwendazake.
 

Mama Samiah amefeli kiuchumi na anaelekea kufeli kisiasa. Shauri zake. Unaleta udikteta kwenye ugumu wa Maisha.
 
Walikuwa wanasema mambo ya kuoneana yaliondoka na mwendazake.

CCM ni ile Ile. Nashangaa akina Mbowe wameingizwa kingi na Samiah eti wakae kimya kisa maridhiano. Shauri zao watakuja kugeukwa muda wasiotegemea.
 
Mama naye kumbe ana kaudikteta fulani hivi! Mzee wa Kongwa alipokosoa mikopo yalimkuta yaliyomkuta! Huyu wa TRC kakosoa tozo ndio kama hivyo!! Ccm ni janga sijui litatutoka lini??
 
Tumfundishe kadogosa kazi.
Moderator naomba kibali nianzishe UZI WA PICHA NA MATUKIO YA KADOGOSA NA TRC
Niliwai kwenda Pale TRC Aseeee kuna kakikundi flani kanapewa upendeleo Sana yaaan tena ni wasukuma. Ipo siku nitawalipua Kwa majina wakiongozwa na kadada flani ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…