Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Amruhusu aende. Kama wasiwasi ni kuchapiwa, hata asimpomruhusu atachapiwa tu..!!Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
na ninavyowajua wanawake, kwenda marekani, kwa Biden, wengi watakwambia kama ndoa basi mi naenda. na ukiwazingua watakwambia uso kwa uso kwamba bora niende. usifanye mchezo na kukwea pipa kwenda Marekani ujue. mara yangu ya kwanza kwenda marekani sikulala, nilikuwa nawaza tu kukoje.Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Hii kauli inawamaliza wengi mno. Wengi hawajui human emotions. Nikuulize tu mfano akitokea koboko ama risasi zinapigwa unamkumbukaga huyo Mungu unayeongea. Ishu hapa ni msimamo ama kanuni alizojiwekea mtu mwenyewe Ila dini ni zuga. Padri mwenyewe anapenda Raha Mana anataka awe na gari lake la milioni mia moja why asipande hiace ama basi asafiri kwani wote si udongoKama mwanamke ni mcha Mungu wala hakuna tatizo
Amuache aendeNilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Amwache aende, na mambo madogo yasitusumbue hayoNilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Ampe mimba akazalie marekani atakuwa na amaniNilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.
Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.
Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.
Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Unajiona smart kumbe mavi tu, kuna sehemu hapo mwanamke kapondwa? Au umetoka kupimuliwa?Ifike mahali moderators wafute mada zinazoanzishwa na wanaume wenye mwelekeo wa ushoga za kuongelea wanawake
Mada nyingi humu zihusuzo kuponda wanawake zinaanzishwa na midume yenye vinasaba vya ushoga
Mwanaume rijali haiwezekani kila muda anawaza kuanzisha maada za mambo ya kike
Kuna mishoga mingi sana ya kiume humu mianzisha mada za kike wakati yenyewe midume shenzi type