Ofisi imemchagua mke wa rafiki yangu aende training Marekani mwaka mmoja. Jamaa yangu yupo njia panda

Kabla ya kumuoa ni yeye aliyekuwa wa kwanza kukata "utepe"?
Zingatia neno UTEPE.

Kama alikuta utepe ulishakatwa na wengine hana haja ya kuona wivu. Amruhusu bibie aende Marekani, maisha mengine yaendelee.

Sisi Wanaume tuna shida sana. Unakuwaje na wivu kwa mwanamke ambaye wewe sio mtu wake wa kwanza??????
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Amruhusu aende. Kama wasiwasi ni kuchapiwa, hata asimpomruhusu atachapiwa tu..!!
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
na ninavyowajua wanawake, kwenda marekani, kwa Biden, wengi watakwambia kama ndoa basi mi naenda. na ukiwazingua watakwambia uso kwa uso kwamba bora niende. usifanye mchezo na kukwea pipa kwenda Marekani ujue. mara yangu ya kwanza kwenda marekani sikulala, nilikuwa nawaza tu kukoje.
 
Hii imeisha, arejea rasmi chamani kwa masela.

Aruhusu akaze huyo lazima ataendaa tu kikubwa amwombee awe na hofu ya Mungu na upendo wa dhati juu ya watoto wake hapo ndipo itanusulika hiyo ndoa kipande iliyosalia mpaka sasa.
 
Kama Wamechokana amruhusu aende, ila kama anampenda mke wake Fursa hata huku bongo zipo nyingi. Apige chini hilo wazo la safari
 
Mshauri kama ambavyo ungemshauri binti yako angekuja kukuomba ushauri kama aende au alinde ndoa!!!
 
Mambo mengine ni kumuachia mungu na nafisi ya muhusika anae kwenda huko mpe rukusa tu
 
Kama mwanamke ni mcha Mungu wala hakuna tatizo
Hii kauli inawamaliza wengi mno. Wengi hawajui human emotions. Nikuulize tu mfano akitokea koboko ama risasi zinapigwa unamkumbukaga huyo Mungu unayeongea. Ishu hapa ni msimamo ama kanuni alizojiwekea mtu mwenyewe Ila dini ni zuga. Padri mwenyewe anapenda Raha Mana anataka awe na gari lake la milioni mia moja why asipande hiace ama basi asafiri kwani wote si udongo
 
Nilikua naongea na jamaa yangu ni Daktari, alioa Mke wake pia ni Daktari, wamebahatika kupata watoto wawili.

Mke wake anafanya kazi NGOs, na wememwambia inabidi aende training Marekani mwaka mzima, halafu akikamilisha wanataka kufungua hospital Tanzania na yeye akae kama in charge.

Jamaa anawaza sana ampe ruhusa au amkatalie, itabidi aache watoto aende mwenyewe. First born yuko na Miaka 5, na anayemfatia yupo na miaka 2.

Ushauri wako ni upi? Mimi nimemwambia amruhusu aende akatafute fursa za maisha, lakini ajiandae kwa Kila kitu, akiona Kuna mabadiliko yoyote ya dharau au usaliti asiogope kupiga chini.
Amuache aende
 
Ifike mahali moderators wafute mada zinazoanzishwa na wanaume wenye mwelekeo wa ushoga za kuongelea wanawake

Mada nyingi humu zihusuzo kuponda wanawake zinaanzishwa na midume yenye vinasaba vya ushoga

Mwanaume rijali haiwezekani kila muda anawaza kuanzisha maada za mambo ya kike

Kuna mishoga mingi sana ya kiume humu mianzisha mada za kike wakati yenyewe midume shenzi type
 
Amwache aende, na mambo madogo yasitusumbue hayo
 
Ampe mimba akazalie marekani atakuwa na amani
 
Ifike mahali moderators wafute mada zinazoanzishwa na wanaume wenye mwelekeo wa ushoga za kuongelea wanawake

Mada nyingi humu zihusuzo kuponda wanawake zinaanzishwa na midume yenye vinasaba vya ushoga

Mwanaume rijali haiwezekani kila muda anawaza kuanzisha maada za mambo ya kike

Kuna mishoga mingi sana ya kiume humu mianzisha mada za kike wakati yenyewe midume shenzi type
Unajiona smart kumbe mavi tu, kuna sehemu hapo mwanamke kapondwa? Au umetoka kupimuliwa?
 
Back
Top Bottom