Uchaguzi 2020 Ofisi ya CHADEMA kwenye video inayozunguka mitandaoni zinaonekana kuchoka na kupauka

Hawa jamaaa wakishika Dola,miaka mitano yote watatumia kujenga miundombinu ya Chama Chao kwanza.
 
Hata Yesu alizaliwa zizini mwa ng'ombe, kwa hiyo achana na ofisi ya Chadema maana wao hawana chama cha kushirikiana nacho kutoka China, nasikia ofisi za Lumumba wamerekebisha wachina. CCM tajiri hoyee!

Kwa hiyo kitu kama ni kibaya unataka watu wasiseme ?. Vumilia ukiwa na kitu kibaya kama wanavyovumilia ukisema hawafai.
 

Hii ina Uhusiano gani na Kampeni za Uchaguzi?Acheni propaganda za Lumumba street hapa.
Angalia hii hapa:
 
Chadema mmewapa majibu mazuri kabisa hawa watu big up sana
 
Billioni 8 walizoibiwa wabunge wa Chadema hazikutosha kujenga?
CCM inatumia vibaya dola na rasilimali za nchi kwa masilahi ya CCM,,
Mwenyekiti wenu amefanya mambo mangapi pasipo kufuata bajeti wala utaratibu wa kisheria
 
Big no
Big no I will vote for Magufuli.
 
Wanasubiri waongoze dola waweke madini dhamana ili wapewe pesa ya kujenga office
Sijui watashindaga mwaka gani sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mosi: Bora wao wana jengo lao kuliko wewe ambaye mpaka sasa unaishi nyumba ya kupanga na miaka hamsini inakutafuna mda si mrefu.
Pili: Wao hawana viwanja vya michezo au miradi kibao kama waliyonayo MATAGA ya kuwaingizia PESA. Achilkia mbali ufisadi walioufanya miaka ya nyuma mopka sasa wa kujilimbikizia mali zoote nchini

Inaonekana Ujinga aliyoufanya Msaidizi wa Msajiri kwa maelekezo yenu umewauma saana..
 
Nilifikiri Godown flani hivi la kuweka vyuma chakavu kumbe ndio makao makuu ya Chama kinachotaka kutuletea maendeleo zaidi ya Ulaya??
Hao hawataki naendeleo ya vitu wanataka naendeleo ya watu , just kiding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…