Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
- Thread starter
-
- #61
Wajinga nyie tumewazoe kwa uovu went na propaganda.Yanachomwa mapazia ila nyaraka zinabaki...huu moto uliotumika hapa ni wa kisasa kabisa! Kama unaweza kuchagua vitu vya kuunguza. Mleta mada ebu toa ufafanuzi wa kueleweka wa nini hasa kilitokea!?
siasa mbaya sana. yaa ni upuuzi mtupu wanafanya.CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Usiwe provoked kirahisi, Mkuu. Maelezo yangu ya awali juu ya moto uliotumika yalikuwa yanalenga kuonyesha udhaifu wa kutokamilika kwa habari uliyoleta hasa ukitazama picha uliyoweka. Sasa toa maelezo kamili baada ya kukuelewesha.Wajinga nyie tumewazoe kwa uovu went na propaganda.
Wakamateni baai muwahoji kama sio nyie mnaohusika.
Upumbavu mtupu yaani CCM ichome office ya chadema ili iweje? Hiyo office inapiga kura au?Magufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.
Hahaha mnachoma ofisi ili kupata attentionHabari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Yaani ccm wanalitia Aibu ili Taifa.Upumbavu mtupu yaani CCM ichome office ya chadema ili iweje? Hiyo office inapiga kura au?
Je ikichomwa hiyo office watu wataongezeka CCM?
fanyeni ujinga wenu mnafikiri watu ni wajinga ili wawape kura,
Mbona Lissu yopo juu tayariCCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Kwenye keyboards 🎹 au mtaani kabisaTutachoma nasisi! Jino kwa jino!
Tumechoka, ngoja tuwafunze adabu hawa wakala wa shetani
CHADEMA wamekosa hoja,wameona waje na wazo hilii,any way sio mbaya sana, mtapigiwa kura na zimamotohapo jamaa ndio kafurahi!.
Usitake kujua, kuna siku nitakuja kuinyanyua hii comment yako, baada ya paybackKwenye keyboards 🎹 au mtaani kabisa
Hapana!