Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

Wewe mpumbavu hujui ile plea bargaining agreement enzi za Magufuli ilikuwa rushwa na unyang'anyi kwani hela yote iliyokusanywa hadi leo haijulikani ilipo. Na ilitumika ofisi hiyo ya DPP kufanya ujambazi huu.
 
Wewe mpumbavu hujui ile plea bargaining agreement enzi za Magufuli ilikuwa rushwa na unyang'anyi kwani hela yote iliyokusanywa hadi leo haijulikani ilipo. Na ilitumika ofisi hiyo ya DPP kufanya ujambazi huu.
Unapenda sana kunyonya dudu. Acha kusumbua wanaume.
 
Umeandika kila kitu nilichotaka kuandika
 
Wakati wa Magu DPP aligeuka mtoza ushuru bana na mpaka leo fedha walizotozwa kina Kabendera hazijulikani zilipo
Wakati wa Magu ndipo msemo wa majaji wa 'mchongo' ulipoanza wajua kwa nini?
Wakati wa Magu policcm walining'iniza watu Kama popo na kutesa wakubali kosa wasilotenda. Kesi za kubambikizwa zilitamalaki.
Mungu kaamua utawala wa sheria umerudi tena.
 
Moderators wacheni double standard,huyu choko kanitukana nimemjibu mkafuta post yangu lakini mkabakisha haya matusi yake. Wacheni hizo,najua mnanitafutia ban.
Moderators wanapaswa kudhibiti hizi lugha chafu kuzuia jukwaa linalo heshimika kuwa feastival ya kanga moko
 
Ulianza vzr sn lakini umekuja kuharibu vibaya katikati
 
Usipopanda kichaa mwaka huu una bahati sana
 
Tangu awamu ya tano. Mwenye mapesa anafanya bagaini na asiye na pesa anaozea jela.
 
Alithibiti vipi wakati ndiye alianzisha mchakato wenye pesa wanakili makosa wanatoa mpunga kwa dpp bisaro wanatoka. Hivi watanzania ndio tunakumbukumbu fupi hivi?
 
Hili lilijulikana mapema ikiwa.Koboko alitoka ambaye ni kingpin ashindweje Candida ambaye ni liutenant.

Suala la katiba maana hata Shkuba kwa sheria za marekani alikula 9 yrs na ametoka tayari baada ya good behaviour and cooperating with us authorities.

Hata Babu Chonji nasikia naye anakaribia kutoka.
 
Wacha longolongo itikia wito huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…