Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

Rais wa sasa hajali kabisa kusikia watu wakionewa na kubambikiwa kesi.

Wasio na pesa ndio wanahangaika na kusota mahabusu. Tafiti zinaonyesha mahabusu wengi ni vijana waliobambikiwa kesi na wengi ni wasio na uwezo. Hii tofauti na alipokuwepo hayati JPM.

Mama Samia ameweka tabaka la masikini kuonewa na vyombo vya dola. Magereza ndio yana majibu juu ya hili. Tunaelekea pabaya sana kwa sasa.
 
Aliyepita alijali kwasababu alikuwa anawakamata matajiri analafu anawapuna pesa zao na makesi ya kubambikia. Ila huyo sabaya wenu kayataka.
 
Kweli naona Mbowe kwa sasa hapelekwi gerezani bali Ikulu
 
Sasa hivi uongo unageuzwa kuwa ukweli mradi uwe na mpunga!
 
Mki kamatwa na kupelekwa mahakamani kwa uchochezi mnaanza kusumbua ndugu zenu
 
Shetani dikteta mwendazake amewaambukiza roho Yake chafu,

Yaan we mmmmbwa unakereka DPP na mahakama zikiondoa kesi za hovyo,Raha yako wewe Quuuuu$#ma watu wafie jela
Mtoto wa Muuza Papuch utamjua kwa kauli na matendo yake
 
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.

Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.

Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp.

Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana makosa.

Mwaka mmoja tu, tunashuhudia mabadiliko makubwa. Huko polisi ndio hovyo kabis.
BABU SEYA ALIACHIWA NA MWANASIASA MMOJA KICHAA AKIWA JUKWAANI?
mtu yule alaaniwe huko alipo alimwachia BABU SEYA bila kuangalia madhira waliyopitia watoto wale
 
BABU SEYA ALIACHIWA NA MWANASIASA MMOJA KICHAA AKIWA JUKWAANI?
mtu yule alaaniwe huko alipo alimwachia BABU SEYA bila kuangalia madhira waliyopitia watoto wale
Aliachiwa kama mfungwa aliyetumikia kifungo mama. Tumia akili acha kupweta pweta.
 
Back
Top Bottom