Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

Kwani kwenye ujenzi wa nyumba umesaidia kiasi gani? Ambayo ni sawa na hisa ngapi?
 

Kwa elimu uliyonayo ulitakiwa kujua tofauti ya:

1: Mtu baki zaidi ya mzazi, anauza mali ya mzazi wako wakati hawapo/hayupo/wameshafariki.

2: Mzazi anauza mali yake mwenyewe.

A: Kwa namba moja hapo juu, ungekuwa na haki kisheria kupambana, ingawa kwa umri na elimu wakati mwingine tunawaachia madogo kwa busara. Labda kama umekwama.

B: Kwa namba mbili, ni busara za mzazi kukuhusisha na hata kukupa chochote. Na huwezi ju-force busara za mzazi kama anakuona atapoteza mali zake.

Mfano: kama ndo unapanga kuoa kwa hiyo hela basi nadhani kuna kitu mzazi amejifunza kwako. Na unavyozidi kwenda juu ndo unajipalia makaa.
Ni bira hata ungetumia wana-ndugu wenye influence ili wakuombee kwa mzazi na si ku-force.
 
[emoji1787][emoji1787]

Umasikini mbaya, mzee mali sio zako hizo, ni kama ww uuze nyumba yako mimi nidai mgao.

Mzee hata sisi wenzio ni mafukara, unga unga mwana siku ipite lakini hatujafikia huko[emoji1787][emoji23],

komaa albabu, mjini hapa
 
Hahahahaaaa

Mental health is a serious issue

Hawa ndio wanaoua wazazi wao
 
Ukisikia udumavu wa akili ni pamoja na huu, nampongeza baba yako Kwa kuamua kula pesa yake mapema. Alipambana kujiwekezea Leo mwache ale mwenyewe. Kimsingi huna haki ya kupewa mgao maana wewe siyo share holder wa hiyo nyumba. Siamini kama UDSM-UDBS wanaweza kuzalisha wahitimu wasiojitambua kama wewe, mtaji pekee ni elimu uliyopewa itumie vizuri utatoboa.
 

Ninasimama Na Baba yako! Fala wewe! Nani mwingin anasimam Na Mzee wetu? Atupie like
 
Komaa Kaka mkubwa upate chako,yaani muone mpaka mrithi wa Lukuvi akusaidie[emoji1787][emoji1787]
 
Boss ulitoa mchango gani kwenye kununua na kudevelop hiyo plot? Plot ina hati au legal owner ni nani? Kwenye family mko wangapi? Go and apologise kwa baba yako. Utakuta ameshandika will na jina lako halipo. It is not a good idea to wash your dirty linen in public.
 
Comments nyingi ni negative, ila dingi MWENYE AKILI
anawajibu wakurithisha mali kwa wanawe.

Methali 19:14 BHN

Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.

Mithali 13:22 SRUV

Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.

Hata ukisoma kisa cha mwana mpotevu ALIPEWA SEHEMU YA MALI INAYOMWANGUKIA.

Biblia ina mifano mingi sana
 

Wajibu, ina maana Ni hiyari, Kakataa; hili Fala linamshtaki, linesomeshwa mpaka Chuo, Lina 41, lipo home!
 
ungekuwa na miaka 22 angalau , kwangu mimi ingemake sense sana, ila huo umri aisee labda aamue yeye tu, mimi mzazi wangu hata asiniachie 100 sitamlaumu sababu katumia gharama zake nyingi kufika nilipo, wewe shukuru una hiyo elimu, pambania vya kwako sasa.
 
Uko na miaka42 hope mzee wako yuko na zaidi ya miaka60..

Alitakiwa yeye ndio afaidi matunda yako,kukulea na kukusomesha...
Mzee anahitaji 100% gharama za matunzo kutoka kwako.
 
Wewe mjinga nenda katafute kazi ya kufanya acha ujinga wewe!!!huo muda unaoutumia ungetumia kutafuta vyako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…