Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

NYIE watoto mnaoua wazazi wenu.
kama unataka pesa kauze figo milioni 200
uza pumbu milioni 150

achana na babako
 
Mimi naomba niulize swali unastahili kupata mgao wa mali kwa kigezo kipi? Pia nina swali la kizushi wewe ni muislamu?
 
Huna aibu tafuta mali zako umri umeenda halafu unafanya utumbo
 
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Hivi wewe akili yako inafanya kazi au mimi ndo nimekisea kukuelewa una miaka 42, unalilia hivi duh!!!!!!!
 
Sijawahi kukutana na mtu mpumbavu namna hii. Miaka 42 na unajiita kijana na unataka urithi wa babako?

Wenzio umri huo tunapambana kuwaachia watoto zetu Cha kwao kama hujapata kwa babako we pambana uwaachie wanao. Acha ugoigoi Mali yake anaamua anachokifanya.

Pamoja biblia inataka kuwaachia watoto wa kiume Mali lakini usifuate hayo maneno kwa babako we pambana uwaachie Mali wanao.

Biblia inasema "na kila mtoto wa kiume atarithi kwa baba yake...." Usipambane sana kulilia Mali ya babako Kama hataki we pambana yako.
 
Hapana mkuu sijaoa bado, ndio nategemea nikipata ela kwenye hii issue ya nyumba ilio uzwa niweze kuoa na kufungua biashara
Miaka 42 bado hujaoa? Kwahiyo kama hutopata mgao wa pesa baada ya kuuza nyumba, hutaweza kuoa?
 
Mkuu unaudhalilisha uanaume, Miaka 42 unaiwaza mali ya baba ako yeye mwenyewe amegoma kukupa kwa hiari yake, nakushauri tumia elimu aliyokupatia kuzisaka na wewe hizo mali alizopata yeye.
Uyu mleta mada itakua ana tatizo sehemu. Haiwezekani akomalie swala la mali za baba yake. Kwani si atafute zake.

Mwanaume mzima 42 years tena sio kijana uyu anaelekea uzeeni mtu anakaribia nusu karne anajiita kijana.

Ujana wake kaula na nani sijui anatafuta kisingizio apo si unaona hajaoa. Seriously mtu ni 42yrs Old na hajaoa still anagombania nyumba ya mzee wake.

Ila mzee nae alaumiwe kwa kushindwa kumlea mwane kwa kiasi hichi. Mzee ni useless kabisa katuletea aibu kiumeni.

Useles fadha, useless fadha, Extra ordinary Useless Child over 40 years old.

Tumbaf
 
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Wewe umepita ujana sasa na nadhani at your age ulitegemewa uwe mtu anayejitegemea na um-support baba yako.Infact nadhani kauza hiyo nyumba kwa kuwa hana support yoyote from you.Ni aibu kwamba badala ya kum-support baba yako,unataka hata hicho kidogo alicho nacho!Tafuta mali yako kijana,kwani yeye alitafutaje?Achana na baba yako ameuza mali yake,tafuta yako.Aibu tupu ninyi vijana wa leo.
 
Uyu mleta mada itakua ana tatizo sehemu. Haiwezekani akomalie swala la mali za baba yake. Kwani si atafute zake.

Mwanaume mzima 42 years tena sio kijana uyu anaelekea uzeeni mtu anakaribia nusu karne anajiita kijana.

Ujana wake kaula na nani sijui anatafuta kisingizio apo si unaona hajaoa. Seriously mtu ni 42yrs Old nq hajaoa still anagombania nyumba ya mzee wake.

Ila mzee nae alaumiwe kwa kushindwa kumlea mwane kwa kiasi hichi. Mzee ni useless kabisa katuletea aibu kiume.

Useles fadha, useless fadha, Exrtra ordinary Useless Child over 40 years old.

Tumbaf
Kabisa Mkuu ila mimi sidhani kama mzazi ananafasi ya kulaumiwa hapa labda tulaumu chuo alikopata hiyo degree.

Mzazi kacheza part yake kumsomesha ni wachache wanapata fursa hiyo,

Imagine kwa umri huo bado jamaa linamshitaki baba ake likidai mgao eti ni haki yake.

Na watoto yatima wako mitaani waseme aje, asipoangalia tamaa na ujinga utamjaa kisha atamtoa kafara mzee wake.
 
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),

Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.

Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata

Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.

Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.

WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.

Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
At that age unalilia mali za baba yako?

Njok huku mtaani uokote makopo, yanalipa kichizi, ndani ya muda mfupi utajenga nyumba yako
 
Nyumba ni ya baba yako au yako?
 
Mzazi kumpatoa mtoto mali yake ni suala la hiyari na si lazima, hiyo haipo kisheria kwamba cha mzazi lazima kuwe na mgao wako. Tafuta zako, kama alivyotafuta zake. Hata ukishtaki unapoteza muda tu, ni hiyari ya mtu hiyo
 
42 unakulaa bure nyumban ,haya maishaa hayana fair kbs,
 
Back
Top Bottom