Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Miaka 42 hujaoa? Unalilia Mali za Baba?? Nikitulia nitaandika kisa Cha Mzee mmoja huko Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali ya wewe uko mzima na akili timamu, kijana nenda ukachangamkie fursa wacha kusubiria urithi.Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Bold kwanza neno nyumba yake.Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Anaweza kumzuru huyuyani mzee inabidi ahame nyumbani manake huyu jamaa anaweza kumuua au alale na bastola yani mtu ana 42 bado analilia ulithi sasa yeye sijui atalisisha nini watoto wake
Kumbe una basic certificate of computer 😝😝😝😝+ degreeHabarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Mbona Mgao wako ulishapewaga wewe sema unazulula tuHabarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka),
Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu ameuza nyumba yake na hataki kunipatia japo pesa kidogo mimi mtoto wake nikaanze maisha, na nilikuja kwenu kuomba ushauri, baada ya kupata baadhi ya ushauri mzuri na mwingine wa kejeri na maneno makali, nikaamua nifanye yafuatayo.
Nikaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mtaa kumueleza ili suala nikaona mwenyekiti wa Serikali za mtaa nae kama anataka kunizunguka, maana baada ya kumueleza mwenyekiti akaniambia atalishughulikia badala yake wakati naondoka akampigia mzee simu na kumueleza kuwa nimeenda kuripoti kwake ili nipate mgao. Nikaona huyu mwenyekiti hatokuwa na msaada kwangu, nikapanda kwa maboss wake ambao ni ofisi ya kata
Baada ya kufika ofisi ya kata nikaelezea mkasa mzima wa baba yangu kuuza nyumba yake na hataki kunipa mgao wa hela mimi mtoto wake ambaye natakiwa nipate haki yangu nikaanze maisha yangu, ofisi ya kata walisikitika sana na kuahidi kunisaidia kwa hali na mali, na kuniambia watamuandikia barua baba angu ili aweze kufika na kueleza kwanini ananipa manyanyaso mimi mtoto wake kwenye mali ambazo na mimi nastahili mgao.
Leo asubuhi nimeitwa kwenye ofisi ya kata mimi na baba, tumefika pale cha kushangaza ofisi ya kata wote wanaanza kunishambulia mimi kwa maneno makali sana, ndugu zangu nimeumia sana na mimewaeleza nitapanda ngazi za juu zaidi ili niweze kupata haki yangu Ikiwezekana hata mahakamni nitafika haiwezekani mimi mtoto niwe naagaika hivi wakati baba yangu pesa anayo tena ni kubwa tu. Na nimepata wasiwasi mkubwa watu wote wanasimama na baba ni kwasababu ana pesa huenda wanataka pesa zake ndio maana wanaona mimi sina hela.
WanaJamiiForums nisaidieni niweze kupata mali kutoka kwa baba yangu, najua kuna wanasheria humu ndani.
Naumia sana kwa haya manyanyaso ninayopitia ukilinganisha mimi ndio mtoto ambaye nina elimu kubwa sana kupita wote pale nyumbani (nina Bcom in marketing ) kutoka chuo kikuu cha DAR ES SALAAM-UDBS, pia nina Basic Certificate ya computer application natakiwa nipewe kipaumbele kwa kila kitu kwenye kuendeleza mali za mzee.
Kama ndo hivyo bora nikuoe mimiPoa
Mwache kwanza afuatilie hizo pesa,kitaeleweka baadae
MKE BILA PESA??