INAUZWA Ofisi ya movie, computer 21 telabytes inauzwa

SSD

Cloud and virtual storage

Emu elezea faida ya kimoja kimoja kwa faida ya wengi yaan hio SSD Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi, hio Cloud storage Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi na hio Virtual storage ni nini na inafanyaje kazi na Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi?

Funguka
 
Huu sio wakati wake, Kuna nyuzi nyingi zimeongelea hayo mambo zipo humu.

Huu sio uzi kwa ajili ya hayo maswali mkuu, Fungua UZI kisha uliza tutakuja wote tunaojua tutakuelekeza.

Ukisema faida ya wote maana yake "wengi wajue" ili iwe hivyo basi ufungue UZI kisha katika UZI wako uni TAG nikija ntakupa info kwa faida ya wote lakini si Hapa.
 
Andaa notice uje
 
We jamaa una akili kweli au ni hamnazo? Jana tulikubariana nini na ukafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…