Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

Naomba nijuzwe namna ya kupata kadi ya chama kipya cha Umoja Party hapa Dodoma jiji. Tayari nimeshawishi vijana zaidi ya 50 wapo tayari kujiunga hata leo. Pia naomba kujua gharama za fulana za chama.

#Magufulification_of_Africa
Mataga
 
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.

Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)

Aaaaaah
Zenj si ingekuwa zaidi ya Dubai, au Somalia ingekua zaidi ya US
 
Kwani POLITICAL operation inayozungumziwa under S.7(3) ya Sheria ya Vyama vya Siasa imetaja kuvaa Tshirt na badge yenye maandishi ya Umoja Party ina amount to Political Activity ? Vipi kama hao ni designer wanajaribisha bidhaa ya Tshirts hizo ?
[emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.

Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)

Aaaaaah
Angekuwa muislamu ingekuwaje?
 
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.

Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)

Aaaaaah
Ulitaka kusema nini ?
 
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.

Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)

Aaaaaah
Nchi nzima tungekuwa magaidi shekh.
 
Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.

Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)

Aaaaaah
Yaani unadhihaki, na alafu unajivunia.

Hehe nafikiri pia una-'imani'-amini mapinduzi hayakutokea! Lahasha!
 
Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.

Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu.

Matokeo yake ndio haya sasa..
Unamzushia uongo tu,
 
Mitambo mdo inatestiwa tu watu washaanza kulialia huko! UMOJA PARTY for every Tanzanian patriot.
 
Naomba nijuzwe namna ya kupata kadi ya chama kipya cha Umoja Party hapa Dodoma jiji. Tayari nimeshawishi vijana zaidi ya 50 wapo tayari kujiunga hata leo. Pia naomba kujua gharama za fulana za chama.

#Magufulification_of_Africa
Chama chenyewe hukijui halafu umehamasisha watu wajiunge na wako tayari. Watanzania bwana.
 
Back
Top Bottom