acha itikadi zako za kidini ww! think straightNyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.
Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu.
Matokeo yake ndio haya sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha itikadi zako za kidini ww! think straightNyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.
Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu.
Matokeo yake ndio haya sasa..
Sasa aliyesema hakina usajili ni Chadema!! Watu wengine bwana!!!! Kweli staili za kufa ziko nyingi.Hahahaaaa....... Ufipa mmeshavurugwa!
HahahahahaZenj si ingekuwa zaidi ya Dubai, au Somalia ingekua zaidi ya US
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.