Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.

Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu.

Matokeo yake ndio haya sasa..
acha itikadi zako za kidini ww! think straight
 
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.

Wakijumulisha kipengele walichotumia kwa angalizo hilo na sheria za mitandaoni,tutakuwa tunaarifiwa na kusikia tu.

Wakati huo, wote humu mkekani tutakuwa tunalishwa na mabakuli ya Keko😂😂 wakati msajili analamba Asali!

Tapatapa hizo!
 
Back
Top Bottom