Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
MatagaNaomba nijuzwe namna ya kupata kadi ya chama kipya cha Umoja Party hapa Dodoma jiji. Tayari nimeshawishi vijana zaidi ya 50 wapo tayari kujiunga hata leo. Pia naomba kujua gharama za fulana za chama.
#Magufulification_of_Africa
Zenj si ingekuwa zaidi ya Dubai, au Somalia ingekua zaidi ya USEndapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Mauritania, Somalia, djibout, Sudan,Mali, Sierra Leone, Niger, Mali zingekua Kama USA. Maana huko waislam ni 90%Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.
Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu.
Matokeo yake ndio haya sasa..
US haiwezi ongozwa na waislamuZenj si ingekuwa zaidi ya Dubai, au Somalia ingekua zaidi ya US
Chama hata halijaanza kiko na fire
Halafu kiongozi awe nani? melo au?Kwa hyo kusajir chama Cha siasa gharama ya jumla 75000/= elfu sabin na tano
Jf tuunde chama chetu jaman humu tupo wengi Sana kila mkoa nchi hii
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Angekuwa muislamu ingekuwaje?Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Ulitaka kusema nini ?Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
AahahahahMsajili ukute kaomba kadi namba moja,kama sehemu ya rushwa
Wamejuaje kuwa wanachama wao?"Fulana zenye picha ya kiongozi ambaye sio mwanachama wao"
πππ
Nchi nzima tungekuwa magaidi shekh.Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Yaani unadhihaki, na alafu unajivunia.Endapo Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania angelikuaga ni Muislamu, vitu vingi sana vingekua tofauti na tunavoona leo.
Bahati mbaya sana, akaanza Mkatoliki (dhehebu langu)
Aaaaaah
Unamzushia uongo tu,Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka.
Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu.
Matokeo yake ndio haya sasa..
Naona mnawasubiria tu muwanyoosheHahahaaaa....... Ufipa mmeshavurugwa!
Chama chenyewe hukijui halafu umehamasisha watu wajiunge na wako tayari. Watanzania bwana.Naomba nijuzwe namna ya kupata kadi ya chama kipya cha Umoja Party hapa Dodoma jiji. Tayari nimeshawishi vijana zaidi ya 50 wapo tayari kujiunga hata leo. Pia naomba kujua gharama za fulana za chama.
#Magufulification_of_Africa
Mkuu, kunywa maji upumzike kidogo. Tulia kwanza, tulia tu.Fire kituo cha Mabasi au?