P pulga Senior Member Joined Oct 1, 2017 Posts 182 Reaction score 297 Apr 19, 2022 #61 Mlolongo said: Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka. Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu. Matokeo yake ndio haya sasa.. Click to expand... acha itikadi zako za kidini ww! think straight
Mlolongo said: Nyerere alivowekwa madarakani (kwa backup ya Waislamu) akawageuka. Akaanza kupandikiza mfumo Katoliki kila sector. Huku akiukandamiza Uislamu. Matokeo yake ndio haya sasa.. Click to expand... acha itikadi zako za kidini ww! think straight
M mundaliku JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 618 Reaction score 774 Apr 19, 2022 #62 johnthebaptist said: Hahahaaaa....... Ufipa mmeshavurugwa! Click to expand... Sasa aliyesema hakina usajili ni Chadema!! Watu wengine bwana!!!! Kweli staili za kufa ziko nyingi.
johnthebaptist said: Hahahaaaa....... Ufipa mmeshavurugwa! Click to expand... Sasa aliyesema hakina usajili ni Chadema!! Watu wengine bwana!!!! Kweli staili za kufa ziko nyingi.
P pulga Senior Member Joined Oct 1, 2017 Posts 182 Reaction score 297 Apr 19, 2022 #63 Memento said: Zenj si ingekuwa zaidi ya Dubai, au Somalia ingekua zaidi ya US Click to expand... Hahahahaha
Memento said: Zenj si ingekuwa zaidi ya Dubai, au Somalia ingekua zaidi ya US Click to expand... Hahahahaha
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Apr 19, 2022 #64 Quinine said: Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika. View attachment 2193009 Click to expand... Wakijumulisha kipengele walichotumia kwa angalizo hilo na sheria za mitandaoni,tutakuwa tunaarifiwa na kusikia tu. Wakati huo, wote humu mkekani tutakuwa tunalishwa na mabakuli ya Keko😂😂 wakati msajili analamba Asali! Tapatapa hizo!
Quinine said: Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika. View attachment 2193009 Click to expand... Wakijumulisha kipengele walichotumia kwa angalizo hilo na sheria za mitandaoni,tutakuwa tunaarifiwa na kusikia tu. Wakati huo, wote humu mkekani tutakuwa tunalishwa na mabakuli ya Keko😂😂 wakati msajili analamba Asali! Tapatapa hizo!