Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Hayo maghala yalikua ya ccm?CCM imesahau kuwa kipindi cha mkoloni wachagga walishawahi kubomoa maghala yote yaliyokuwa yanahifadhia kahawa mkoa mzima ndani ya usiku mmoja?
Kama ni kuamua kufanya sabotage, haitakuwa kaofisi kamoja. Itakuwa ni majengo yote ya serikali mkoa mzima.
Huyo "mtu Mmoja Mlafi wa Madaraka" ni nani?Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Ofisi ya mtendaji inakuwa ya chama tena.
Duuh mkuu upo sawa kweli ??!!!!Ilikuwa ya chama gani mbona hii habari umeileta kimuhemuko sana
Mtendaji halafu unauliza Chama gani ?
JF imevamiwa na Mataahira
Mkuu ofisi ya mtendaji haina chama ni ofisi ya serikali huwezi kukuta bendera ya chama utakuta bendera ya taifa.
Hao mashetani waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Mbona Mtendaji haukumlaani alipo vuruga hali ya upinzani ya kuwa mgombea? Ww ni kama weu mengine tu such as Jafa,creed,na msibaHao mashetani waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Unaweza kuta wamechoma wenyewe harafu kesi wapewe chadema
Kuna nyingine Wana share space na Afisi ya S/MtaaWee unatoa mbwa kweli hizo zinazokuwaga na bendera mbili nje ya chama naya nchi niza nini
Hao mashetani waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Yalikuwa ya mkoloni ya kukusanyia kahawa kwa bei za kinyonyaji.Hayo maghala yalikua ya ccm?
Ni watu wasiojulikana sio mashetani, soma vizuri taarifa.Hao mashetani waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Maombi yasipofika tutatumia utaratibu wa RC Chalamila......ni bakora tu hadi muharishe mbege!Maombi ya kishamba kama haya hayawezi kufika Kwenye kiti cha enzi
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki