johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani sasa tuna vyama vingapi bwashee?!Kama jiwe alidhani anaweza kuturudisha kwenye nchi ya chama kimoja kwa mabavu basi huko atarudi yeye. Hii ni karne ya 21, watu wanashawishiwa kwenye jambo na sio kutumia mabavu.
Unaweza kuta wamechoma wenyewe harafu kesi wapewe chadema
Kwani sasa tuna vyama vingapi bwashee?!
Hahahaaa! Chama ni kimoja tu bwashee!Vya kumwaga.
Mambo gani?!Mambo huwa yanaanzaga kama utani!
Yesu yuko Ulaya na Israel wewe komaa tu na ukoloni.Haowaliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Hahahaaa.......chama ni kimoja tu bwashee!
Huwezi kuwa na vyama vingi bila Tume Huru ya Uchaguzi!
Hakuna cha kumekucha. Hao ni Wachaga wanahujumiana wenyewe. Akili zao wanazijua wenyewe.Kumekucha. CCM jitafakarini.
Kuna nyingine Wana share space na Afisi ya S/Mtaa
Ndio unazoonaga wewe
Hakuna cha kumekucha. Hao ni Wachaga wanahujumiana wenyewe. Akili zao wanazijua wenyewe.Kumekucha. CCM jitafakarini.
π π π kosa mpira pata mtu ππKwa sasa Ni jino kwa Jino mjomba, ukipiga mguu unapigwa kichwa.hakuna kulialia tena...
Ujue JafFo na JPM wanawahadaa sana hawa watendaji.Wasifikie hatua ya kukatana mapanga tu all because ya watu wachache wanaoona wanahaki ya kufanya watakavyo ktk nchi ya watu zaidi ya 40M
Huko kote ambako kuna machafuko mambo yalianza hivi hivi, baada ya kikundi cha watu kujiona kuwa ndio wenye haki ya kuwaburuza wenzao!! Haki ndio msingi wa amani,Kumekucha. CCM jitafakarini.
Mashetani walidhulumu haki ya wagombea wa upinzani washindwe kwa jina la nani?Hao waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Chuki kaisababisha Rais Magufuli na CCM yake.Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki