😂😂😂😂 Walikua na miaka mitano ya utawala walichofanya ni kuuminya upinzani kwa nguvu kubwa.Ahaaaa ahaaaa, umegundua single ya ndege haiuzi na mgombea wako amekata pumzi, hivyo bora arukie ilani za ukweli na kudesa baadhi ya mambo ili mjinisuru? Lisu piga hapo hapo Mataga wameanza kutema hirizi.
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.

Swala Hilo la ndege Wala halimo kwenye ilani ya ChademaAhaaaa ahaaaa, umegundua single ya ndege haiuzi na mgombea wako amekata pumzi, hivyo bora arukie ilani za ukweli na kudesa baadhi ya mambo ili mjinisuru? Lisu piga hapo hapo Mataga wameanza kutema hirizi.
🤣🤣🤣🤣 Leo ninakupongeza kwa kukua ukweli kwamba chama chIlani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Ninyi mnaongelea mlivyoviandika au mnajibu na kudandia hoja ya wapizaniSwala Hilo la ndege Wala halimo kwenye ilani ya Chadema...
Ni wazo zuri, lakini, vya upinzani si huwa mnaona havifai..?Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Sio kila kitu kitachukuliwa umesoma vizuri nimesema chenye mantiki na kilicho ndani ya uwezo kilichomo ilani za vyama vyote hata CCM ikiwemo pia vinavyowezekana kufanyiwa kazi Sasa sio kila kitu🤣🤣🤣🤣 Leo ninakupongeza kwa kukua ukweli kwamba chama ch
enu kililewa sifa kikashindwa kuandaa ilani yenye malengo badala yake kikageuku kuandaa sifa tu