fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Haha hali mbaya baada ya kuona chama chako hakina sera ya kueleweka imebakia ndege, SGR, SG, barabara bhaasss😂😂😂Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.