Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Haha hali mbaya baada ya kuona chama chako hakina sera ya kueleweka imebakia ndege, SGR, SG, barabara bhaasss😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yawezekana chadema Wana ilani nzuri

Maana hii haijawahi tokea[emoji2][emoji2]
Vyama vya siasa viko 16 vikivyoyotoa wagombea Uraisi hivyo ilani za vyama ziko 16 .Nyingi hazijukikani kwa wananchi ikiwemo ya Chadema sababu wagombea hawazisemi lakini huko ndani waweza kuta Kuna mazuri ya kufanyia kazi Sio dhambi Wala kosa kisheria yakifanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kabla ya uchaguzi mkuu.Ruksa
 
Haha hali mbaya baada ya kuona chama chako hakina sera ya kueleweka imebakia ndege, SGR, SG, barabara bhaasss😂😂😂
Maendeleo ya vitu vinavyosaidia uchumi CCM hatuwezi kuacha kuongea hatuachi

Mtu huitwa Maskini. Sababu Hana kitu

Bakhresa Ni tajiri sababu ana vitu nchi yeyote tajiri duniani Ina vitu Ina reli barabara mashule mahospitali nk

Chadema Maskini sababu hawana vitu hata jengo tu la makao makuu hawana hawana hata kitu kimoja kitega uchumi Cha kuingiza pesa ndio maana wanatembeza bakuli.CCM tuna vitu vitega uchumi vya kuingiza pesa ndio maana hatuombi pesa kwa kutembeza bakuli mikutanoni

SGR Ndege mabarabara vyote vinaiingizia pesa Serikali iki isiwe tegenezi pia vinasaidia wananchi kuingiza vipato

Hayo hatuachi kuyasema nchi isiyo na vitu ,mtu asiye na kitu au chama kisicho na kiti ndio Maskini mfano mzuri rmtu Ni Chadema

Vitu ndio huzalisha pesa.Usipokuwa na vitu matokeo yake ndiyo hayo ya Chadema inaenda na mabakuli mikutanoni kuomba pesa za kampeni kitu ambacho hata Chauma chama cha Hashim Rungwe hakifanyi
 
Vyama vya siasa viko 16 vikivyoyotoa wagombea Uraisi hivyo ilani za vyama ziko 16 .Nyingi hazijukikani kwa wananchi ikiwemo ya Chadema sababu wagombea hawazisemi lakini huko ndani waweza kuta Kuna mazuri ya kufanyia kazi Sio dhambi Wala kosa kisheria yakifanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kabla ya uchaguzi mkuu.Ruksa
Kwani mgombea wa CCM kwenye mikutano yake huwa anatangaza yaliyo kwenye ilani au ya akilini mwake[emoji2]
 
Kwani mgombea wa CCM kwenye mikutano yake huwa anatangaza yaliyo kwenye ilani au ya akilini mwake[emoji2]
Umeona nilichoandika? ninesema katika hivyo vyama 16 vingi haviekezi ilani zao sijasema vyote Rudia kusoma.
Mgombea wa CCM kila anapoenda kabeba kitabu chote Cha ilani Ni mgombea pekee anayetembea na kitabu Cha ilani

Wengine wanaenda mikono matupu utafikiri wanaenda kikao Cha harusi ya baba mkwe
 
Back
Top Bottom