Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
 
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

..😂😂

..zichukueni zote muanze kuzifanyia kazi.

..halafu vyama viamrishwe kuandika ilani mpya kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.

Mkitulia huwa mnakuja na mada zenye mashiko sana. Leo nimekupa reaction yangu kwa moyo mkunjufu kabisa ingawa wewe ni Mjumbe wa CCM.
 
Ahaaaa ahaaaa, umegundua single ya ndege haiuzi na mgombea wako amekata pumzi, hivyo bora arukie ilani za ukweli na kudesa baadhi ya mambo ili mjinisuru? Lisu piga hapo hapo Mataga wameanza kutema hirizi.
Swala Hilo la ndege Wala halimo kwenye ilani ya Chadema

Unajua kwa Nini nimeomba serikali ichukue ilani zote? Sababu wagombea Uraisi wote wa upinzani hawanadi hizo ilani Mzee Rungwe anaongelea ubwabwa Tundu Lisu anaongelea vitu visivyokuwepo kwenye ilani no wengineo ndio nikaona ili kuwatendea haki wanachama wa vyama vya upinzani vyote ambavyo wanachama walihangaika kuandaa ilani ili kuwatendea haki serikali tu ichukue iangalie yepi ya kufanyia kazi

Maana wagombea Uraisi wao hawataki kuzinadi hizo ilani zao

Kwa hiyo serikali I take over izichukue iziangalie.Sizungumzii Chadema tu hapa wagombea Uraisi vyama vya upinzani vyote haviongelei ilani zao
 
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
🤣🤣🤣🤣 Leo ninakupongeza kwa kukua ukweli kwamba chama ch
enu kililewa sifa kikashindwa kuandaa ilani yenye malengo badala yake kikageuku kuandaa sifa tu
 
Ni wazo zuri, lakini, vya upinzani si huwa mnaona havifai..?
 
🤣🤣🤣🤣 Leo ninakupongeza kwa kukua ukweli kwamba chama ch
enu kililewa sifa kikashindwa kuandaa ilani yenye malengo badala yake kikageuku kuandaa sifa tu
Sio kila kitu kitachukuliwa umesoma vizuri nimesema chenye mantiki na kilicho ndani ya uwezo kilichomo ilani za vyama vyote hata CCM ikiwemo pia vinavyowezekana kufanyiwa kazi Sasa sio kila kitu
 
Ushauri wako ni mzuri, sema Mzee baba mlimdanganya mwanzo ili avifungie vyombo huru vya habari, bunge na Vyama vya upinzani, hili mungrlilipata mapema likawasaidia.Jambo hili litaighalimu CCM si 2020 tu hata 2025, maana haiaminiki, huwezi kuwa na watekeleza Sera wako(wafanyakazi) ukawasahau kwa mtindo wa kibabe hivi.
 
Uko hapa jf na kutazama TBC kisha unategemea usikie ilani ya wapinzani? Ukisikia tunataka mdahalo lengo ni nyie mnaookoteza taarifa sehemu ambazo Magufuli hayupo, siku hiyo kwenye mdahalo uangalie, na ikiwezekana ww ndio uwe muongoza mdahalo ili uwaulize hao wapinzani hicho unachotaka. Lakini unashinda hapa jf kuanzisha nyuzi za upotoshaji kuhusu wapinzani, kisha unaziamini mwenyewe unategemea nini?

Toka kampeni zimeanza nyuzi zako ni nyomi, kisha umeona mgombea wako kapanick na kuanza kukataliwa ndio unakuja na wazo kuwa akiongea yanayotakiwa na wapinzani ndio atapata mvuto! Yeye aendelee na kampeni zake za fiesta maana shida yenu ni nyomi na sio sera. Narudia tena, Lisu piga hapo hapo, Mataga wanakaribia kumtaja aliyeagiza upigwe risasi.
 
Vipi tena madege 11 na madaraja hayauziki majukwaani hadi mataga mmeghafilika namna hii 🤣🤣

Aisee ni dhahiri CCM maji yamewafika utosini mafisadi wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom