Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

Ni wazo zuri, lakini, vya upinzani si huwa mnaona hayafai..?
Tena bungeni ccm huwa wanaichana-chana bajeti mbadala wakati wakiwa wanatoa michango yao na Spika Ndugai akichekelea, leo CCM hawa-hawa wametandikwa spana za maana na Lissu hadi wanamlilia Bashiru atafute ilani ya Chadema na kuiba sera na kuzifanyia kazi muda huu wa uchaguzi ili kuwapambuza wapiga kura🤣
 
Ahaaaa ahaaaa, umegundua single ya ndege haiuzi na mgombea wako amekata pumzi, hivyo bora arukie ilani za ukweli na kudesa baadhi ya mambo ili mjinisuru? Lisu piga hapo hapo Mataga wameanza kutema hirizi.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwanja wa kifisadi wa chato kwafano unaqashaurije?

Wamshurutishe Rais arejeshe pesa ili zihudumie watz..... Nasikia ana accounts nchi nyingi sn kwaajina yake na ya ndugu zake
 
Yaani mimi bado namshangaa mtoa hoja...!! Yaani leo hii ndo waone sera za vyama vya upinzani ni mahitaji ya wananchi..!!! Wonders shall never end... wallah tena
 
Sio kila kitu kitachukuliwa umesoma vizuri nimesema chenye mantiki na kilicho ndani ya uwezo kilichomo ilani za vyama vyote hata CCM ikiwemo pia vinavyowezekana kufanyiwa kazi Sasa sio kila kitu
Kwani wale Wabunge na Viongozi wa Upinzani mliowanunua hawakuwaletea Ilani?
 
Umeponda Weee,ukatukana Weee Sasa unaona panya Anamng'ata paka unajitia una akili timamu.
Hatutaki hiyo hoja yako,tunataka tuendelee na nyimbo za ndege,SGR,Mabarabara,na fly over na wengine Waendelee na uhuru,mishahara nk
Imbeni tu Kama yako kwenye ilani zenu Kama hayamo hamuitendei haki ikani yenu ili Watu waijue ilani ya chama chenu hayo yako kwenye ilani ya CCM kwenu Hakuna SGR flyover Wala Ndege!!!
 
Watumishi waliopanda daraja mara ya mwisho 2015,wapandishwe haraka kabla ya 30/09/2020.

Waambie
 
Vipi tena madege 11 na madaraja hayauziki majukwaani hadi mataga mmeghafilika namna hii [emoji1787][emoji1787]

Aisee ni dhahiri CCM maji yamewafika utosini mafisadi wakubwa nyie.
Juzi jioni nilikuwa naongea na Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya Mojawapo Dar,nikamuuliza kuhus hali ya kampeni inaendaje kwa Upinzani na CCM. Kwa mdomo wake akaniambia kiukweli Lissu anatupeleka kibra na pia ametupa ujasiri na kutufumbua macho mambo mengi ya huyu Magufuli,tunachosubiri ni October ifike.
 
Imbeni tu Kama yako kwenye ilani zenu Kama hayamo hamuitendei haki ikani yenu ili Watu waijue ilani ya chama chenu hayo yako kwenye ilani ya CCM kwenu Hakuna SGR flyover Wala Ndege!!!
Maninaa leo umekuwa mpole kama yatima,na bado
 
Upinzani Tanzania hamjawahi andaa bajeti mbadala huwa mna vihotuba tu vya kuponda bajeti ya serikali .Hiyo Sio bajeti ya Upinzani.

Bajeti ya Upinzani unaandaa full bajeti mbadala ya ile ya serikali Sio unakuja ohh nwlaani majambazi kuuawa ukisoma bajeti mfano ya wizara ya Mambo ya ndani .Andaa bajeti full mbadala ya wizara ukiwa waziri kivuli Sio porojo ndio maana spika huwa anatupa kwenye Dustibin
 
Nyie endeleeni kununua Ndege mkakusanyike Serikali nzima Uwanjani kuzipokea kama kawaida yenu ,Akili yenu ndio imeishia hapo .
 
Ohooo, baada ya ilani yenu mgombea kuona aibu kuelezea yaliyomo hadi anataja Kurasa tu, au siyo
 
Wameshindwa kutekeleza ilani yao ya mwaka 2015 wataweza ilani nyingine?

Mpaka sasa wameshindwa kutekeleza ahadi ya katiba mpya iliyomo kwenye ilani ya 2015
 

Yaani huyu spika mwenye akili za kushikiwa ndio unaweza kumtaja mbele ya wanaume? Kama aliunda kamati ya kibunge kisha anamuuliza rais nani awe kwenye kamati, huyo ni spika au shambaboy wa rais?
 
Rais Tundu Lissu hahitaji ilani ya mtu mwingine yeyote.... ilani yake ni universal and all inclusive!
 
Ivi sera ya ccm ni Nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…