Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tena bungeni ccm huwa wanaichana-chana bajeti mbadala wakati wakiwa wanatoa michango yao na Spika Ndugai akichekelea, leo CCM hawa-hawa wametandikwa spana za maana na Lissu hadi wanamlilia Bashiru atafute ilani ya Chadema na kuiba sera na kuzifanyia kazi muda huu wa uchaguzi ili kuwapambuza wapiga kura🤣Ni wazo zuri, lakini, vya upinzani si huwa mnaona hayafai..?