Kwetu kijani ilani ya page 3000 imejaa ndege ,flyover na mapambioImekuaje leo.?
Yaliyomo kwenye ilani ya KIJANI yenyewe hakuna lilifanyiwa kazi
Walipofika kwao wakawa misukule,hawaelewi chochote zaidi kuimba na kusifuKwani wale Wabunge na Viongozi wa Upinzani mliowanunua hawakuwaletea Ilani?
Mku nafasi haipo tena kwani tumekwama sehemu nyingi angalia kila anakokanyaga Lisu Raia wanaonyesha walivyo na kiu.Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Ndege ,ujenzi, ndege, ujenzi kisha sifu ,sifu ,sifu +++++++++++++Ivi sera ya ccm ni Nini??
Kwani kiki yake ya kupiga push_up nayo haisomeki!? Je, ile ya kuwaletea fiesta bila kiingilio, nayo vipi!?Ahaaaa ahaaaa, umegundua single ya ndege haiuzi na mgombea wako amekata pumzi, hivyo bora arukie ilani za ukweli na kudesa baadhi ya mambo ili mjinisuru? Lisu piga hapo hapo Mataga wameanza kutema hirizi.
Bajeti ya kutekeleza hayo yote ipo wapi?Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Sisi ilani yetu ya ccm si inatosha? Kwa nini turukie ilani za nyama vya upinzani vilivyokufa? Au upinzani haujafa bado?Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Hujielewi Kuna re allocation hufanyika kukiwa na issue nzito Kuna mifuko ya hazina nk hayo ya bajeti Ni non issue.Iachie CCM tunajua pesa zitatoka wapiBajeti ya kutekeleza hayo yote ipo wapi?
Ofisi ya rais na waziri mkuu zipo chini ya serikali ya CCM.
Hoja yako ya kijinga.
Ilani zenu toka uhuru zmaewasaidia nini wananchi mana Kwa muda mrefu mumefanya nchi yetu shamba la bib! Mumelewa madaraka mpaka mukageuka kufanya uizi kwa kutumia sheria angamizi kwenye maisha ya wananchi mf.sheria ya mikopo makato makubwa,,yaani ninyi mumekua makatili sana..umpe mtu kamshahara ka 320000.halafu umkate 15%..hapo m nataka mtumishi ale mawe au nini? Wakati huo ninyi m unakula mema ya nchi hii kwa ngv ya siasa tu?yaani watumishi wanaowaandalia na kutelekeza Sera zenu ndy mnawanyonyaa mpaka huruma!! Wananchi tupeni kule wanyonyaji hawa!!Imbeni tu Kama yako kwenye ilani zenu Kama hayamo hamuitendei haki ikani yenu ili Watu waijue ilani ya chama chenu hayo yako kwenye ilani ya CCM kwenu Hakuna SGR flyover Wala Ndege!!!
IIlani zinesaidia Sana tu mfano mdogo tu Lisu kasomeshwa bure na serikali ya CCM kuanzia shule ya msingi Hadi chuo kikuuIlani zenu toka uhuru zmaewasaidia nini wananchi !!
1:serikali yeyote duniani inakusanya kodi kutoka kwa wananchi hvyo basi elimu kwa watu wake sio swala la Sera wala hisani. Ni jukumu lake au wajibu wake. Unadhani katka ulimwengu huu kodi ya wananchi kama sio kutoa elimu na maji kwa wananchi kodi inakua na mana gani?IIlani zinesaidia Sana tu mfano mdogo tu Lisu kasomeshwa bure na serikali ya CCM kuanzia shule ya msingi Hadi chuo kikuu
Hicho kingereza anachojdai nacho kakijulia hapahapa Tanzania kwenye shule za Tanzania na chuo kikuu Cha Dar es salaam alichosoma ambako kote alifundishwa na walimu watanzania
Hara wewe kutia mawazo mitandaoni nimkutokana na sera ya CCM ya Mawasiliano ya kuhakikisha nchi inakuwa na mawasiliano ya kisasa ya teknolojia ya kisasa .Utekelezaji wake wa hiyo ilani ndio huu unajimwaga na simu janja ukitembea kwa mbwembwe ukijirusha na watsapp no
Kila mtanzania unakuta ana simu mkononi ilani ya CCM hiyo ndio imeleta hayo kupitia kipengele Cha uboreshaji wa Mawasiliano kuwa ya kisasa kuanzia simu,barabara ,SGR nk
Ni sawa siyo mbaya lakini mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye watoto, lile swala lao jingine la ushoga nalo vipi, serikali walibebe?Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Sijasema yote nimesema Yale yenye mantiki yanayokubakika na yaliyo ndani ya uwezo Sio yoteNi sawa siyo mbaya lakini mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye watoto, lile swala lao jingine la ushoga nalo vipi, serikali walibebe?