Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Mku nafasi haipo tena kwani tumekwama sehemu nyingi angalia kila anakokanyaga Lisu Raia wanaonyesha walivyo na kiu.
Na kuendana na yanayoendelea juu ya mwanasheria wake ambaye ni Amsterdam na Viongozi walioandikiwa barua., na report ya UN iliyotoka juzi ccm haiwaweki sehemu salama.

Kwani hofu yangu ni pale Lisu atakapotoa kauli yoyote inayofautiana na tume then alekeza wafuasi wake cha kufanya nao waitikie wito wake sijui ni nani atakayewazuia kwani Mbowe alishasema siku kikinuka msimtafute.
Hapo ndo tutaanza kuona makucha ya UN na Mwanasheria wa Lisu.

Niseme tuombe Mungu viongozi waliopewa majukumu ya uongozi wawemakini kwani nyakati na wakati unaonyesha upepo havumi vizuri
 
Hawa wanang'olewa octoba 28 , wachukue hayo wayapeleke wapi? tunaambiwa kila mtu anapambana na roho yake
 
Ahaaaa ahaaaa, umegundua single ya ndege haiuzi na mgombea wako amekata pumzi, hivyo bora arukie ilani za ukweli na kudesa baadhi ya mambo ili mjinisuru? Lisu piga hapo hapo Mataga wameanza kutema hirizi.
Kwani kiki yake ya kupiga push_up nayo haisomeki!? Je, ile ya kuwaletea fiesta bila kiingilio, nayo vipi!?
 
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Bajeti ya kutekeleza hayo yote ipo wapi?

Ofisi ya rais na waziri mkuu zipo chini ya serikali ya CCM.

Hoja yako ya kijinga.
 
Kila timu ibaki na ilani zake...
Why leo mtake kuchukua mawazo ya wale mlotaka kuwaua kwa kuwasingizia ubeberu na uhujumu...??

Bakini huko huko na ndege zenu na mabwawa yenu!

Wananchi wanatakiwa kuambiwa kuwa kuna ilani zipo tangu nchi inapata uhuru zikiwachuuza kwa kuahidi vitu vile vile bila utekelezaji.

Wananchi wanatakiwa wajue mbaya wao ni nani hadi leo hii.

Wananchi wanatakiwa wajue kuwa ni ngumu kutatua matatizo yale yale kwa kiwango kile kile cha akili kilichoshiriki kuyasababisha.

Wananchi wanatakiwa wajue kuwa nguo ikivaliwa sana inachuja na kuchakaa.

Wananchi wanatakiwa wale na kunywa ccm lakini kura kama zote wazipeleke upinzani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yawezekana chadema Wana ilani nzuri

Maana hii haijawahi tokea[emoji2][emoji2]
 
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Sisi ilani yetu ya ccm si inatosha? Kwa nini turukie ilani za nyama vya upinzani vilivyokufa? Au upinzani haujafa bado?

Halafu si mlikuwa mnasema kuwa chadema hawana sera wala ilani. Sasa ilani yao ya nini tena mkuu?
 
Jiwe ameshakaa kibra..vichinjio vimeshanolewa..akileta ubabe The Hague
 
Bajeti ya kutekeleza hayo yote ipo wapi?

Ofisi ya rais na waziri mkuu zipo chini ya serikali ya CCM.

Hoja yako ya kijinga.
Hujielewi Kuna re allocation hufanyika kukiwa na issue nzito Kuna mifuko ya hazina nk hayo ya bajeti Ni non issue.Iachie CCM tunajua pesa zitatoka wapi

Wewe ndie mjinga Tena Sana tu

Pia utejekelezaji wa mambo mengine ya sera hutaka tu kufanya maamuzi tu mfano niseme dogo tu mfano wanafunzi kila siku mashuleni wanakula wali nyama na Kuna sera ya chama fulani inasema ili kukuza Pato la wakulima shule ziilipo kwenye maeneo ambayo wakulima kilimo Chao kikuu Ni mahindi na mboga serikali yetu tukishika madaraka iagize shule za eneo Hilo zinunue mahindi na mboga zaidi iki wanafunzi wale zaidi ugali na mboga ili kusaidia kuinua kipato na uchumi wa wakulima wa eneo Hilo badala ya kuagiza Michelle na nyama toka mbali kwa Bei kubwa na kuacha mazao na mboga za wakulima shule zilipo yakiwaharibikia bila soko .Uamuzi Kama huo unahitaji bajeti?
 
Imbeni tu Kama yako kwenye ilani zenu Kama hayamo hamuitendei haki ikani yenu ili Watu waijue ilani ya chama chenu hayo yako kwenye ilani ya CCM kwenu Hakuna SGR flyover Wala Ndege!!!
Ilani zenu toka uhuru zmaewasaidia nini wananchi mana Kwa muda mrefu mumefanya nchi yetu shamba la bib! Mumelewa madaraka mpaka mukageuka kufanya uizi kwa kutumia sheria angamizi kwenye maisha ya wananchi mf.sheria ya mikopo makato makubwa,,yaani ninyi mumekua makatili sana..umpe mtu kamshahara ka 320000.halafu umkate 15%..hapo m nataka mtumishi ale mawe au nini? Wakati huo ninyi m unakula mema ya nchi hii kwa ngv ya siasa tu?yaani watumishi wanaowaandalia na kutelekeza Sera zenu ndy mnawanyonyaa mpaka huruma!! Wananchi tupeni kule wanyonyaji hawa!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ilani zenu toka uhuru zmaewasaidia nini wananchi !!
IIlani zinesaidia Sana tu mfano mdogo tu Lisu kasomeshwa bure na serikali ya CCM kuanzia shule ya msingi Hadi chuo kikuu

Hicho kingereza anachojdai nacho kakijulia hapahapa Tanzania kwenye shule za Tanzania na chuo kikuu Cha Dar es salaam alichosoma ambako kote alifundishwa na walimu watanzania

Hata wewe kutia mawazo mitandaoni nimkutokana na sera ya CCM ya Mawasiliano ya kuhakikisha nchi inakuwa na mawasiliano ya kisasa ya teknolojia ya kisasa .Utekelezaji wake wa hiyo ilani ndio huu unajimwaga na simu janja ukitembea kwa mbwembwe ukijirusha na watsapp no
Kila mtanzania unakuta ana simu mkononi ilani ya CCM hiyo ndio imeleta hayo kupitia kipengele Cha uboreshaji wa Mawasiliano kuwa ya kisasa kuanzia simu,barabara ,SGR nk
 
IIlani zinesaidia Sana tu mfano mdogo tu Lisu kasomeshwa bure na serikali ya CCM kuanzia shule ya msingi Hadi chuo kikuu

Hicho kingereza anachojdai nacho kakijulia hapahapa Tanzania kwenye shule za Tanzania na chuo kikuu Cha Dar es salaam alichosoma ambako kote alifundishwa na walimu watanzania

Hara wewe kutia mawazo mitandaoni nimkutokana na sera ya CCM ya Mawasiliano ya kuhakikisha nchi inakuwa na mawasiliano ya kisasa ya teknolojia ya kisasa .Utekelezaji wake wa hiyo ilani ndio huu unajimwaga na simu janja ukitembea kwa mbwembwe ukijirusha na watsapp no
Kila mtanzania unakuta ana simu mkononi ilani ya CCM hiyo ndio imeleta hayo kupitia kipengele Cha uboreshaji wa Mawasiliano kuwa ya kisasa kuanzia simu,barabara ,SGR nk
1:serikali yeyote duniani inakusanya kodi kutoka kwa wananchi hvyo basi elimu kwa watu wake sio swala la Sera wala hisani. Ni jukumu lake au wajibu wake. Unadhani katka ulimwengu huu kodi ya wananchi kama sio kutoa elimu na maji kwa wananchi kodi inakua na mana gani?

2:umeongelea teknologia..hili sio swala la Sera Bali ni swala ambalo nchi yeyote lazma ikubali by nature. Yaani wewe unataka kuniambia wewe kuwa na smartphone ni kwa sabb ya Sera ya CCM?hivi hapo huoni unajidharilisha?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.

Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.

Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Ni sawa siyo mbaya lakini mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye watoto, lile swala lao jingine la ushoga nalo vipi, serikali walibebe?
 
Ni sawa siyo mbaya lakini mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye watoto, lile swala lao jingine la ushoga nalo vipi, serikali walibebe?
Sijasema yote nimesema Yale yenye mantiki yanayokubakika na yaliyo ndani ya uwezo Sio yote

Ahadi hewa pia ziko nyingi pia kwenye ilani za vyama za tu kuvutia masikio ya msikikizaji siongelei zote

Nashauri ilani zote zichukuliwe wataalamu wachambue kipi kichukuliwe kifanyiwe kazi kinachoonekana chaweza fanyiwa kazi

Vyama viko 16 kwa hivyo kuna ilani 16 nyingi hatuzijui sababu wagombea hawazisemi lakini zipo Tena waweza kuta huko ndani Kuna mazuri lakini kwa kuwa wagombea hawazisemi hizo Ilani kuwatendea haki wanachama walioandaa ndio nikaomba zipitiwe zote 16 ziangaliwe Kama Kuna chochote kiwezacho kufanyiwa kazi kifanyiwe Kama hakipo Sio kesi ilani husika iwekwe pembeni
 
Back
Top Bottom