Haha hali mbaya baada ya kuona chama chako hakina sera ya kueleweka imebakia ndege, SGR, SG, barabara bhaasss😂😂😂Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika wayafanyie kazi Yale ambayo yako ndani ya uwezo wao yasisubiri hadi uchaguzi mkuu upite.
Vyama vya siasa viko 16 vikivyoyotoa wagombea Uraisi hivyo ilani za vyama ziko 16 .Nyingi hazijukikani kwa wananchi ikiwemo ya Chadema sababu wagombea hawazisemi lakini huko ndani waweza kuta Kuna mazuri ya kufanyia kazi Sio dhambi Wala kosa kisheria yakifanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kabla ya uchaguzi mkuu.Ruksa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yawezekana chadema Wana ilani nzuri
Maana hii haijawahi tokea[emoji2][emoji2]
Maendeleo ya vitu vinavyosaidia uchumi CCM hatuwezi kuacha kuongea hatuachiHaha hali mbaya baada ya kuona chama chako hakina sera ya kueleweka imebakia ndege, SGR, SG, barabara bhaasss😂😂😂
Kwani mgombea wa CCM kwenye mikutano yake huwa anatangaza yaliyo kwenye ilani au ya akilini mwake[emoji2]Vyama vya siasa viko 16 vikivyoyotoa wagombea Uraisi hivyo ilani za vyama ziko 16 .Nyingi hazijukikani kwa wananchi ikiwemo ya Chadema sababu wagombea hawazisemi lakini huko ndani waweza kuta Kuna mazuri ya kufanyia kazi Sio dhambi Wala kosa kisheria yakifanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kabla ya uchaguzi mkuu.Ruksa
Umeona nilichoandika? ninesema katika hivyo vyama 16 vingi haviekezi ilani zao sijasema vyote Rudia kusoma.Kwani mgombea wa CCM kwenye mikutano yake huwa anatangaza yaliyo kwenye ilani au ya akilini mwake[emoji2]