Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Kwann safar hii mmeanua kupeleka ajira utumishi?

Au mnataka watu wakandwe?
 
Tumepokea na tunafanyia kazi
Aaaah aaah. Kweli nyinyi TAMISEMI hamjitambui kabisa. Sasa hapo umepokea nini? Acheni ubabaishaji, rushwa, upendeleo, dharau, majivuno na kujiona nyinyi ni mungu watu ili nchi ipige hatua ya kwenda mbele.
 
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA WATUMISHI ESS


Habari za Asubuhi


Nimeleta habari hii baada ya kujiridhisha na kufanya Tafiti mbalimbali kugundua kama walichoniambia wadau hao ni kweli au lah na baada ya kugundua ukweli nimekuja na mada hii.


Itakumbukwa kwamba Rasmi Serikali kupitia wizara ya OR-Utumishi ilisitisha Katibu mkuu Tamisemi na KATIBU MKUU Utumishi kupokea maombi ya uhamisho Wa barua na kuanzisha mfumo wa uhamisho serkalini wenye Taarifa za mtumishi kupitia ess.utumishi.go.tz.


Kwa kuona kwamba uhamisho kwa njia ya zamani ilikuwa inapoteza Muda wa mtumisho ,Haukua rafiki kwa mtumishi na Kuongeza njia za ushawishi wa rushwa kwa Pande hizo mbili.


hivyo kwa maelekezo ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Utumishi aliyoyatoa kupitia barua yenye Kumb Na. FA.228/613/01/1 ya tarehe 11 Agosti, 2023. Kuhusu Mfumo huo.Pia. Naibu katibu mkuu aliweza kutoa maelezo katika kikao chake na Watumishi wa halmashauri ya tabora tarehe 19 june 2024. Lakini bado baadhi ya halmashauri zimeendelea kuwa kero Kwa Watumishi kuto kutoa huduma ya ku approve uhamisho katika mfumo


Sehemu mpaka Sasa zinazolalamikiwa ambzo nimefanya Reseach huko Halmashauri ya wilaya ya Kongwa, Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Halmashauri ya manispaa ya Ubungo, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.


Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Halmashauri ya wilaya ya Handeni, Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Halmashauri ya manispaa ya singida, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.


Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe ,Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.


hizi ni baadhi tu na ndo zenye malalamiko mengi ila yapo halmashauri za majiji na manispaa ambazo zima malalamiko machache.


SERIKALI KAMA MMEAMUA KUZUIA UHAMISHO KWA WATUMISHI MSILETE VISINGIZIO MAANA MAJIBU MENGI YA WAKURUGENZI NI KUWA TUNAFATA MAELEKEZO.
 

Attachments

  • VID-20240708-WA0002.mp4
    9.4 MB
Tumepokea na tunafanyia kazi
Tamisemi tunaomba mfanye vitu kama wasomi unasema umepokea na unafanyia kazi …unafanyia kazi kitu gani na changamoto gani? Hivi mmekosa cha kuwajibu wadau hapo juu yaani ofisi yote imekosa hata muda wa kujibu? Sasa kama hamjibu maswali ya wadau mnafanya nini ofisini? Kwanini tusiseme ninyi ndio mnahujumu Mh Rais? Sasa hao watu ambao hamjawajibu kwanini wasimlamikie Rais?

Naomba mjifunze kwa wizara ya maendeleo jamii? Dr Ngwajima anapata muda wa kujibu maswali yetu ninyi ni nani mshindwe kujibu? Mnafanya nini ofisini na tunawalipa mishahara na mshindwa kujibu hata maswali matatu ya wananchi? Kwanini mnafanya mzaha?
 
Uhamisho WA watumishi vipi.
Mnaajiri MTU ana familia Alafu mnampeleka mbali familia zinatengana. Litazame hilo
 
Tunaomba Uhuni wa Uchafuzi wa 2020 Serikali za mitaa usijirudie mwaka huu.
 
Naona ajira za ualimu zimetoka, kuna kijana amekuwa akijitolea kwenye kituo chetu kwa miaka takribani mitano na anafanya kazi kwa uadilifu mkubwa na anaipenda kazi yake.
Tatizo amekuwa kila akiomba hapati kwa miaka yote hiyo. Naomba kama itawezekana akumbukwe kipindi hiki, kama utaruhusu nitakutumia majina yake na mawasiliano yake PM. Nasubiri mrejesho mkuu.
 
Mwalimu mkuu
 
Matokeo ya Hesabu hasa shule za Msingi kila mwaka yamekuwa ya kuogopesha kwa takriban 85% wa wanafunzi wa shule za umma kupata alama 0% . Sababu ipo wazi kabisa wala hakuna haja ya kufanya tafiti za kupoteza hela...
 
Mwimu mkuu naomba umwambie aombe kama wenzie na umuwekee recomendation letter kwenye mfumo ajaze kila kitu! Sasa hivi ni mwendo wa interview….kuna watu huwa wanakosa pakujitolea je hao wafanyweje? Hapa uzuri ni usahili aoneshe uwezo wake atapata kazi!

Kwakweli nawapongeza Tamisemi na Utumishi! Usahili ni njia fair
 
OR TAMISEMI
 
Nimeshangaa sana AFISA UTUMISHI anagoma kubadilisha MUUNDO WANGU N DARAJA LANGU anakomaa kuniambia eti niwewai panda daraja mean while sijawahi kupanda hivi karibuni. HR wa halmashauri hna data kabisa na analipwa mshahara wa nini sasa.
 
Msalimie mkwe wa mama yule
 
Naomba kuuliza najaribu kutuma maombi ya kazi lakini inashindikana kwa kua nilishawai kufungua account ya ajira portal lakn nimeisahau account hyo na nikijaribu ku create account nyingine kwa kuingiza namba ya nida inagoma naombeni msaada
 
Tamisemi please toeni vibali vyetu tuhame maana wengine ndoa zitakufa na pia morali kazini hatuna maana kisaikolojia akili haijatulia nawaza matatizo ya familia ilioko huko niliko omba hamia ,aya majibu yenu ya kuwa mda wowote kuanzia sasa vibali vitatoka sio fair,maana kuanzia mwaka jana mwezi wa saba hadi leo ...tuoneeni huruma jamanii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…