Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Umri ndio tatizo yan delay ya miaka mi2 ndo nishindwe kuajiriwa ther mist be away...!!!
 
hivi wakuu vyeti vinahakikiwa chuoni au kwa mwanasheria?
Maana tangazo linasema kuhakiki cheti kwenye chuo husika.
 
Kama wameshindwa kutengeneza system za kueleweka ni bora warudishe tu kuomba maombi kwa posta yaani stationery zoote watu wanatapatapa.bila msaada dah
 
Mimi ni mdau wa jamii forum kutoka kiembe samaki unguja zanzibar nina ombi juu ya idara ya uhamiaji tanzania kuhusu ombi la kazi lililotolewa November 29,2024 nilikuwa naombi kuhusu vigezo vilivotolewa na idara iyo kama kigezo cha umri na kigezo cha elimu kwamba Kuna changamoto tulionayo Kuna baadhi ya waombaji washamaliza stashahada taaluma zao Lakini kutoka na muda wa kuchelewesha kutoka kwa vyeti vyao kutoka mavyuoni walivosoma watapelekea kukosa izo nafasi za kujiunga na jeshi la uhamiaji kwahiyo ushauri wangu waturuhusu idara ya uhamiaji tanzania kutumia kama utambulisho kutoka vyuoni ili utusaidie kufanya maombi mpaka muda wa kutolewa vyeti tutaambatanisha na kufikisha sehemu husika katika idara iyo.,ahsanteni sana jamii forum natumai mtanisaidia kufikisha haya maombi yanguView attachment 3168200
Wee Mzenji, ajira za Bara zinakuhusu nn? Usubiri za kwenu huko.
 
Yeyote anayeshindwa kukamilisha maombi nicheki inbox nikusaidie.
 
jamani naomba majibu maombi haya ya ajira woite munatumia anuwani moja hata mukiwa zanzibar
 
Back
Top Bottom