Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

Simple as that! Umeeleweka vizuri..
 

Demu anakuwa kwenye peak ya uzuri/ubora at 22 ,akiweza kujikeep vizuri anaenda hadi 35 baada ya hapo ndiyo changamoto.

Demu wa 30 ni Pisi ya Kwenda tena anakuwa wa MOTO hasa.

Walio kwenye mkakati ni >35.
 
Muongo mi Nina miaka iyo na Nina mtoto na Nina upendo
Wewe si ulikuwa unalalamika kuwa wanaume wawe wanatoa hela, nyinyi single mother mnapenda mwanaume anayehudumia mtoto wako tofauti na hapo upendo hamna
 
Kama una mtoto au mdogo unaweza kuruhusu amuoe single mother? ikiwa yeye Hana mtoto nijibu kwa ukweli wako bila kupepesa Mungu wako anakuona
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Demu anakuwa kwenye peak ya uzuri/ubora at 22 ,akiweza kujikeep vizuri anaenda hadi 35 baada ya hapo ndiyo changamoto.

Demu wa 30 ni Pisi ya Kwenda tena anakuwa wa MOTO hasa.

Walio kwenye mkakati ni >35.
Waambie hao, wanalinganisha 30 ya zamani na sasa😅 30 tumegoma
Kuzeeka huku! Watukome👌🏽
 
Waambie hao, wanalinganisha 30 ya zamani na sasa😅 30 tumegoma
Kuzeeka huku! Watukome👌🏽

Hahahaa mimi kwangu hadi 35 namuona pisi tu ya kwenda ,wanawake ni matunzo akipata wa kumtunza vizuri kupata mahitaji yake ya vipodozi ,nguo nk na mileage hasogezi sana basi hadi 45 anakuwa bado ng'ari ng'ari.
 
Mimi mwenyewe kabla sijawaha na huyo single mother wadau walinionya sana nisiwe na mahusiano na single mother Mimi nikawa mbishi hiko ndicho kilikuja kunikuta ndio nikajua kwanini kampeni ya single mothers ni kubwa kiasi hichi, iko hivo single mothers karibia wote Wana thamini sana watoto wao kuliko chochote ukiweza tu kumuwin watoto wake unajihakikishia taa ya kijani kwa mama yao hiyo ndio nature yao huwezi kubadilisha na akishazaa majukumu yanaongezeka kwake so lazima atahitaji mwanaume wakubeba majukumu ya kusomesha watoto wake so ukishindwa hapa au mzazi mwenza akajirudi na akakuzidi kwenye kuhudumia tayari hapo utakuwa umepoteza pambano haijalishi ulifanya mangapi hapo kabla yaani bond yake na mzazi mwenza huwezi kuivunja labda watoto wafe. Hapo ndipo changamoto na kudate na single mother inapokuja na wote waliodate na single mother lazima wakutane na hii changamoto so hapo inakuwa sio suala la tabia tena ni nature ndio inaingia ndio maana linakuwa ni janga la kitaifa angalau single mother ambao kiuchumi wapo vizuri wale ndio hawana matatizo makubwa hawa angalau ninaweza kushauri wadate nao sio hawa wanaojitafuta ni majanga.
 
Duhh! Basi vijana mna hatari kubwa aisee! Poleni sana..
 
Kama una mtoto au mdogo unaweza kuruhusu amuoe single mother? ikiwa yeye Hana mtoto nijibu kwa ukweli wako bila kupepesa Mungu wako anakuona
Why not!? yan watu wapendane huko mie niwakatalie kisa malaika asiyekua na hatia, nyinyi ndio mnaowatesa hadi yatima kisa hamjawazaa nyie, watoto ni baraka
 
Wanapresha ya ndoa ndipo hapo wahuni wanapopata nafasi na wakiwa na hela Mario nao wanaingia kwa gia ya ndoa.
 
Kamari hii, mtu anamsululu wa maex,mwendo wa kupasha viporo. Binti mdogo rahisi kumshape, ila 30+ ngumu sana. Ushajiuliza why siku hizi, idadi ya wanawake wanao chepuka ni kubwa kuliko ya wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…