Baada ya Okoltoba 29, tusubiri ya M23 na Cabo Delgabo.Dunia haiongozwi na waliokufa. Hilo liweke kichwani.
Hayo mawazo sijui ya Nyerere, sijui Yesu, sijui Muhamad mara nyingi hutumiwa na watu wajanja kuwadhibiti watu wengi hasa waliotabaka la chini.
Wewe unafikiri watawala wanapofanya maamuzi yao wanakumbuka hata kulikuwa na Nyerere?
Nyerere utamsikia wakiwa majukwaani tuu.
Ukishakufa umekufa mkuu. Waliohai wanauhuru wa kuamua watumie mawazo yako au mawazo yao au mawazo yoyote.
Hapana msitumie mgongo wa nchi changa huo ni uongo kabisa mnao aminishana wengi hii nchi nyerere kaichukua ikiwa inataratibu zote chini ya muingereza,viwanda vilikuewpo , kulikuwa na reli pamoja na estate za serikali za kilimo ,na kila kitu kilisha kuwa kimepangwa vizuri nchi haikuwa changa kwa kiwango hicho mnacho taka kutuaminisha,alichokosea ni kutaka kulazimisha nchi ambayo tayari ilisha anza kujengwa kwenye misingi ya kubepari akataka kulazimisha iwe nchi ya ujamaa ndio maana mambo yalianz kumuharibikia akaanza kukwama, na alipo anza kukwama walio kuwa wakimsema na kumshauri aliwaweka vizuizin na wengine waliuawa, historia ya hii nchi naijua vizuri kabisa huwezi kunidanganya kama wanavyo fanywa UVCCm leoHuwezi kusema mbinafsi, halafu hayo madaraka hayakuwa kwa manufaa yake.
Nchi changa yenye ukabila, udini, daktari mmoja, vita baridi.
Alitakiwa kufanyaje?
Toa altenative
Hakuna mali za taifa zolizobinafsishwa kuwa za chama.
Huu mi uzamwamwa.
Malimza CCM.ni zile zilizokuwa za chama wakati wa chama kimoja.
Mali zilizobinafsishwa zilikua za taifa, siyo chama.
Taja hiyo mali moja iliyobinafsishwa ikawa ya chama.
Mengi yapi?
kumbe ndo maana tukifatilia mafao yetu wanapiga danadana..sasa ndo nimejua!Wanaotaka kujenga uwanja wa Ndege Mbugani, hawana hoja.
Na kibaya zaidi nimefuatilia, hawana pesa wanataka kupora pesa PSSSF, NSSF za wastaafu.
Waboreshe uwanja wa ndege wa Mwanza na barabara
Demokrasia siyo lazima iwe ya vyama vingi.Angeheshimu kura asingefuta UPINZANI baada ya Uhuru..
Wewe KIAZI jifunze kwanza tofauti kati ya TAIFA na NCHI ndio uje tujadiliane.Hapana msitumie mgongo wa nchi changa huo ni uongo kabisa mnao aminishana wengi hii nchi nyerere kaichukua ikiwa inataratibu zote chini ya muingereza,viwanda vilikuewpo , kulikuwa na reli pamoja na estate za serikali za kilimo ,na kila kitu kilisha kuwa kimepangwa vizuri nchi haikuwa changa kwa kiwango hicho mnacho taka kutuaminisha,alichokosea ni kutaka kulazimisha nchi ambayo tayari ilisha anza kujengwa kwenye misingi ya kubepari akataka kulazimisha iwe nchi ya ujamaa ndio maana mambo yalianz kumuharibikia akaanza kukwama, na alipo anza kukwama walio kuwa wakimsema na kumshauri aliwaweka vizuizin na wengine waliuawa, historia ya hii nchi naijua vizuri kabisa huwezi kunidanganya kama wanavyo fanywa UVCCm leo
AiseeeeWatasema hakupatwa na shinikizo kama wanaopata viongozi wa leo.
Afro Shiraz walikuwa wadini???Uvamizi wa Zanzibar na udini
Lisu ni Critical thinker lakini hana maono ya kuliongoza taifa..ila ni mzuri sana wakutafuta madhaifu ya kitu fulani...nakaujeuri anako...Samahani.Hata Lissu analeta stori Za mkahawani?
Tangu Nyerere ametoka madarakani mwaka 1984.Nyerere ndio kaharibu nchi, hakupenda mawazo pinzani, alizani yeye pekee ndio mwerevu, siku za mwishoni nchi ilimshinda
TZ iliundwa na Nyerere.Tanzania haimilikiwi na Nyerere. Yeye alikuwa tu mmoja wa watoto wa Tanganyika na baadae Tanzania. Kiufupi hii ardhi yote ni ya kila Mtanzania na itajengwa na Watanzania, kama Nyerere alivyojenga wakati wake na sisi tunajenga wakati wetu
sawa inajulikana mnaweza mkawa na demokrasia kwenye chama kimoja au vingi.. kama China ni CCP peke yake..Demokrasia siyo lazima iwe ya vyama vingi.
Baada ya uhuru Tanganyika ilikuwa imejaa ukabila, udini, umasikini, daktari mmoja, matishio ya nje.
Kungekuwa na vyama vingi baada ya uhuru, kila CHIEF angekuwa na CHAMA CHAKE CHA SIASA.
Msingi imara wa uongozi ukoje?Mbona sasa ameshindwa kujenga msingi imara wa kiutawala ja kiuongozi?
Wazo jipya lipi?sawa inajulikana mnaweza mkawa na demokrasia kwenye chama kimoja au vingi.. kama China ni CCP peke yake..
ila kusema aliheshimu kura ni uongo ndo maana waliotaka kuleta wazo jipya ndani ya chama hicho kimoja walikula BAN..
Wazo la Soko Huria la kina Kambona waliokuwa wakipinga sera zake za Ujamaa..Wazo jipya lipi?
Taja hilo wazo
Msingi imara wa uongozi ukoje?
Tukiwawekea debate wengine mnasema hadithi Za vijiweni. Unafikiri kwanini ikaitwa Afro halafu Shirazi ? Na vipi iliunganishwa ? Chanzo ni nini ?Tatizo vijana hamtaki kujifunza mnapenda mipasho ya Wasira😝😝Aiseeee
Afro Shiraz walikuwa wadini???
Maana mapinduzi yalifanywa na waislam wengi kuoinga waislam wachache. Halafu nyinyi si ndo mnaadhinisha mapinduzi na kuyaita matukufu?
Halafu mjue wanaojaki muungano na ngano za mapinduzi ni mababu zetu kwa wema wao kwa watu wasio na wema. Sisi Wala hatuna habari nao. Ila hapa tunaujadili tu uhalisia. Kwa yanayoendelea huko visiwani hatuna mzuka na muungano. Ila nawawazia siku tunavunja hamtatengana kati ya unguja na wapemba.
Maana kipindi fulani mlikuwa hata kusemeshana hamsemeshani Wala hata samaki mlikuwa hamuuziani hapo feri DSM.
Kama nyinyi wenyewe hampendani kinachowazuia kupigana ni huu muungano kwa sbbu wote mna sehemu ya kutupa matusi yenu kwa Nyerere. Siku tukivunja haita pita chaguzi mbili mshapigana.
Baada ya Okoltoba 29, tusubiri ya M23 na Cabo Delgabo.
Siku zote maisha yana FORMULA.
TZ iko ilivyo leo, kwasababu ya misingi kuna watu wakiweka.
Ukija na akili yako ya kizuzu, tegemea na matokeo tofauti..
Aliyebuni TAIRI alikuwa bwege na alishakufa, TAIRI linatakiwa PANDE NNE.
Hatuwezi kuendelea kuamini MFU kuwa TAIRI ni DUARA, wakati kwa akili zetu ni MSTATILI.
View attachment 3612988
Chadema hawa hawa wanaochangisha watu hela kuendesha chama?Waulize CHADEMA
Huwezi endelea bila kujua kwanza ulikotoka.Akili hizi za CCM kuamini Nyerere alikua ndio kila kitu hadi kusema zidumu fikra za mwenyekiti ndio unalidumaza taifa badala ya kwenda mbele linarudi nyuma.
Amka kutoka usingizini fikra zake zilishakufa na sio kila alichokianzisha bado kipo au kilikua sawa .
Mwaka 1999 wakati analazwa St Thomas pale London ili kumuona ilihitaji mtu asafiri kwenda London ila mwaka huu 2026 kama angekuwepo wanafamilia katika kumjulia hali wangeweza kumpigia moja kwa moja kutoka Mwitongo wakamuona kwa kutumia video call akiwa London japo kwa kipindi hicho isingewezekana.
Hivyo dunia inasonga mbele hairudi nyuma muungano uchwara hauna tija kwa wakati huu ndio maana bongo mpya zinaukataa na sababu halisi zipo.
Nyerere alianzisha mwenge unaofuja mabilioni ya pesa ila leo hii ukimuuliza kijana faida moja ya mwenge ni ipi hutoipata.