King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kabla hatujapiga enu tuwekee hasara unazoziona na faida ambazo wanaotaka wanasema ,kisha tutoana zipi zimezizidi zenzake.Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.
Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.
Tufikiri mara mbili.
Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.
Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.
Kitatulamba.
Hivi haya maneno ya "kula kwa urefu wa kamba" aliyasema nani vile, unakumbuka?Wewe itakuwa ni mmoja wa wanaokula kwa urefu wa kamba yako
Nifikiri na ni mmoja wa victim wa siasa zake . Tukivaa viatu vya mapira ya gari. Tukila mahindi ya kula farasi ya kutoka Marekani. Kaka yetu katoka ubaharia Airport alikuwa na dola elfu 3 wakazichukuwa na yeye kumweka ndani na kesi kumfungulia. Hata sukari na chumvi vilikuwa kipusa.Ni mengi ya ujinga wa Nyerere nitajaza pageKwa hiyo ushuhuda wako wewe usiokuwa na dosari ni huo wa Jumbe ana hizo video?
hao ndio wameshikilia akili yako usiweze kufikiri mwenyewe?
1. Tupo kwenye ushndani wa kiuchumi na wazee wa nyayo tu hapo jirani, wao wamejenga maasai imara, je mtalii atachagua kutua na ndege kubwa kutoka kia hadi serengeti zaidi ya km 300 kuja senapa au atue ndani ya maasai imara?Kwetu Mara,
Ila kama uwanja unajengwa Mbugani mimi siafiki.
Lakini pia kuchukua pesa za wastaafu kujengea uwanja siafiki.
Ajenda yenu yote juu ya Nyerere inaanzia na kuishgia hapo ulipopataja, pa "uislam". Hakuna zaidi ya hapo.serikali tatu. Nk Babu yenu Laanatullahi Nyerere alikuwa cobra na mdini anayechukia uislamu hatari hasa Zanzibar akiichukia hatari , sijui ilimkosea nini
Hao waliosema hayo ni wanafunzi wa Nyerere na wanaendeleza siasa zake Kama alivyokuwa akifanya kwa mawaziri wake wezi akina Mgonja na wengineo kuwatoa huku na kuwapeleka kule wakale kwa urefu wa kamba zaoHivi haya maneno ya "kula kwa urefu wa kamba" aliyasema nani vile, unakumbuka?
Inawezekana pia ukasema yalisemwa na Nyerere!
Maana akili zenu na huyo anayejulikana kusema hivyo zinafanana sana.
Si ndio akawasaidia Wakatoliki wenzake kule Biafra na Obote kule UgandaAjenda yenu yote juu ya Nyerere inaanzia na kuishgia hapo ulipopataja, pa "uislam". Hakuna zaidi ya hapo.
Ingewasaidia katika hoja zenu kukazia hapohapo pa uislam, ili watu wajadili udini wa Nyerere kama kweli ulikuwepo.
Kenya hawana uweso.wa kuje ga uwa ja wa ndege kwasasa.1. Tupo kwenye ushndani wa kiuchumi na wazee wa nyayo tu hapo jirani, wao wamejenga maasai imara, je mtalii atachagua kutua na ndege kubwa kutoka kia hadi serengeti zaidi ya km 300 kuja senapa au atue ndani ya maasai imara?
Ndio maana wastaafu wanateseka sana na KIKOKOTOO moaka leo.2. Mifuko ya jamii kugharamikia syo shida
-unakijua chuo kikuu cha udom? Kimejengwa na hyo mifuko, hakuna ufadhili kutoka nje, hakuna ubaya kama watazitumia na kuzirudisha on time.
Ni vvema sasa unapojibainisha hivi, inakuwa ni rahisi kujuwa lalama zako zinatokea wapi.Nifikiri na ni mmoja wa victim wa siasa zake . Tukivaa viatu vya mapira ya gari. Tukila mahindi ya kula farasi ya kutoka Marekani. Kaka yetu katoka ubaharia Airport alikuwa na dola elfu 3 wakazichukuwa na yeye kumweka ndani na kesi kumfungulia. Hata sukari na chumvi vilikuwa kipusa.Ni mengi ya ujinga wa Nyerere nitajaza page
Maana ya utalii ni kwa wageni kuja nchini na kutumia pesa miongoni mwa jamii wanapotembelea.Lakini pia kwasababu za uhifadhi, Madege kuruka mbugani kunahatarisha uhifadhi.
Lakini pia Uwanja wa nxege wa Mwanza ukomkaribu sana na Serengeti.
Ni suala la kupiga Njia nne, hiyo barabara ya Musoma Road.
Kwa hiyo unajibainisha wazi wewe ajenda kuu juu ya Nyerere ni huo ukatoliki wake. Acha kujificha katika hoja zisizohusiana na hiyo.Si ndio akawasaidia Wakatoliki wenzake kule Biafra na Obote kule Uganda
Yaani unaandika ukiwa sijui wapi? Hata Mzee wako hakukuhadithia? Hali ya uchumi ngumu duniani wakati tukinunua sembe chapa Bibi kutoka Kenya kwa magendo? Bora kakojowe ukalale au nenda kasikilize mipasho ya babu yenu WasiraNi vvema sasa unapojibainisha hivi, inakuwa ni rahisi kujuwa lalama zako zinatokea wapi.
Wanaokula unga wa mahindi kwa mfano siyo farasi; hili pekee linakuonyesha ulivyo wa kiwango cha chini sana.
Hivyo viatu vya mpira ukivivaa vinakuathiri vipi, hata ukiamua kuvivaa leo, kuna kosa lolote?
"Sukari na chumvi" vilitengenezwa na Nyerere; hujui kwa nini palikuwepo na hali hiyo wakati huo? Ulitaka tu viwepo, vidondoke hata wakati hali ya uchumi wa kidunia ni ngumu?
Huyo ndugu yako na dola zake elfu tatu; taratibu zilizokuwepo za kifedha wakati huo hutuelezi chochote juu yake; lakini unataka tujuwe tu kwamba dola zake elfu tatu zilichukuliwa; na wala huelezi mazingira yake yalikuwaje?
Kwa hiyo sasa inajulikana, wewe kinachokupa msukumo ni kuathirika kwako kwa moja kwa moja na sababu za kidini, na siyo mengi aliyoyafanya Nyerere kwa taifa hili kwa manufaa ya waTanzania wengi na taifa lao.
Okay sawa nimekuelewa.Mkuu 'james', mimi naelewa ni wapi unaposimamia, na sina shaka juu ya hilo; lakini kukubaliana na hawa 'detractors' kwamba sababu ya Tanzania leo hii kuwa maskini ni Nyerere; hili hapa nadhani hata wewe mwenyewe huamini kuwa unakubaliana na hao watu.
Ni sababu zipi walizoweka katika maandishi yaliyokushawishi?
Mimi sitaki kukusuta, ila ninakustua tu ujuwe ni wapi unapoelekezwa na hawa punguani wa akili.
Wao wana ajenda tofauti kabisa juu ya Nyerere, wala siyo hayo ya sababu za unaskini wa Tanzania.
Imenibidi nirudi kwa sababu naona unababaishwa bila ya sababu yoyote.
size hapa kama umekisoma kwa faida ya wengi.Kasome kitabu cha Marehemu Rais Aboud Jumbe, cha The Partner-ship: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Miaka 30 ya Dhoruba, humo utamjua Nyerere kuwa ni Cobra hatari sana
Niambie hakuwasaidia wakatoliki kujitenga na Nigeria Kule Biafra kwa kuwapelekea silaha? Kama hujui ingia japo Google utaonaKwa hiyo unajibainisha wazi wewe ajenda kuu juu ya Nyerere ni huo ukatoliki wake. Acha kujificha katika hoja zisizohusiana na hiyo.
Endelea kusoma post nyengine nilishamjibu utaonaSummar
size hapa kama umekisoma kwa faida ya wengi.
Huyo ni Kumbe wewe unasemaje?
Umeeleza vyema.Unapojadiliana na watu wa aina hii ambao hawana 'objectivity' katika msimamo wao wa mawazo ni kupoteza muda hata uwaeleze vipi.
Wao nia yao ni moja tu, kuonyesha kuwa Nyerere alikuwa mbaya; hawajui lolote alilosimamia Nyerere katika taifa hili.
Sasa ukubali au usikubaliane nao katika jambo lolote; nia yao ni hiyo hiyo moja tu, ya kukuongoza wewe uone wanavyoona wao.
Wamekupa mifano ya hayo mabaya aliyofanya Nyerere? Wametumia vipimo gani vya kuyaona kuwa mabaya, na wao walitaka yafanyike yapi kwa wakati huo wa Nyerere.
Nyerere alifanya mambo akijuwa dhahiri kuwa ni mabaya kwa waTanzania?
Kuna sababu zipi afanye hivyo, wamekueleza? Alifanya hivyo kuwakomoa waTanzania wa leo?
Kwa faida zipi alizoziona yeye kwa kufanya hivyo!.
Wewe ulikuwa unaishi pangoni kutojuwa kwamba Kenya walikula sana huo unga wa njano, wakati huo; na hata baadhi ya watu kufa kwa njaa kwenye maeneo kama Turkana na kwingineko?Yaani unaandika ukiwa sijui wapi? Hata Mzee wako hakukuhadithia? Hali ya uchumi ngumu duniani wakati tukinunua sembe chapa Bibi kutoka Kenya kwa magendo? Bora kakojowe ukalale au nenda kasikilize mipasho ya babu yenu Wasira